Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

hao mawaziri watakuwa wapumbavu. si wajiuzuru
Teh teh, Nitacheka jamaa akienda watandika viboko halafu apande jukwaani na kusema hawafanyi kazi ni vikao vsisvyo vya kikazi wala kwa manufaa ya nchi.Yeye km makonda anataka wachapa kazi na maendeleo tuu.
 
Hahaaa mnaanzisha nyingine? Kafara ya Lissu imegonga mwamba sasa mnaleta nyingine. Kweli Jemadari JPM kiboko. Mnaweweseka tu
 
Hii ni kweli mkuu hata mi hili nimeliona huwa najiuliza sipati jibu..kwa hili wako sawa make jamaa kageuka kuingilia wizara zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si hivyo tu akinogewa atatamani nafasi ya bosi ndo mapinduzi hutokea hivyo.

utawala uliofitinika watavurugana wenyewe kwa wenyewe
 
Aliishia wapi maliyamungu aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri tuone yatakayotokea. Niliwaambia wenyewe vichwa vitagongana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…