Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Makonda anajua kuusoma mchezo na kuucheza, he is the best aiseee
 
Alijulikana zaidi kama Isaac Maliyamungu na aliua sana...yasemekana kwamba hata Idi Amin mwenyewe kwa kiasi fulani alimuogopa! Alishabahiana na Bashite kwa mengi kuanzia tabia (ujasiri na ukatili) na elimu ndogo.

Napenda kufahamu alifariki vipi huyo Maliyamungu
 
Thubuuutu mtoto kipenzi cha dingi ajadiliwe?......kama ni hii story ni kweli nadhani kwenye hicho kikao itakuwa ni baraza zima LA mawaziri.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Watajuana wenyewe,kama hawatak uwazir wajiuzuru na itawapa sifa,mwanaume analialia nini?
Wameshindwa kujiuzuru walipoitwa "Wapumbavu" waje kulalamikia kupokwa majukumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nimeamini HAWANA MAAMUZI

May Allah bless Me and You
 
Wivu tu, wanafanya kazi kwa mazoea, katokea kijana mchapa kazi hawajiamini! Makonda piga kazi, [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]..
 
Wakuu wa mikoa hawahitaji kuonyesha vyeti wanapaswa wajue 3K. (Kuhesabu, Kusoma na Kuandika) maneno ya waziri wa utumishi na utawala bora
Only 2 Ks
Kusoma na Kuandika.
Kuhesabu ni OPTIONAL

May Allah bless Me and You
 
Watarekodiwa hao na kwenye baraza wataachwa,kwa sababu hata sasa kuna mabadiliko yanaelekea kutokea

May Allah bless Me and You
 
Ni kweli kabisa hata kama ni mimi ningekua kama Mkuu wa mkoa halafu mawaziri wapo wapo tu ningeamka na kushirikiana na wananchi kuleta maendeleo.
Makonda ni zaidi ya mawaziri kumi.

Waziri mzima kweli unawabomolea wazee nyumba na kuwaacha walale nje bila msaada wowote.
Makonda alijiongeza akagundua kuwa kuna malalamiko then akachukua hatua za kusimamisha zoezi la bomoabomoa.


Nafikiri mawaziri walipaswa wamuunge mkono mh. Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…