Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Yaani "hutongozi harafu unatongoza kibabe"

Basi sawa...
 
hiyo ndio maana ya udomo Zege, ulidhani Somo zege ni Bubu haongei😀😀

Domo zege ni kile kitendo cha kushindwa kumshawishi Mwanamke iwe ni Kwa sababu ulizozitaja au sababu ya kukosa Swaga au aibu au sababu yoyote Ile.

Kumtongoza mwanamke sio kujishusha Bali ni sifa ya urijali wa mwanaume. Kitendo cha kujiona unajishusha thamani kinaonyesha tayari huna hiyo thamani uisemayo, unakosa sifa ya mwanaume labda kijivulana Fulani kinachobalehe.

Yaani unasema unapendwa na wanawaktna hapo hapo unasema upo single muda mrefu sijui unamaanisha nini hapo, zingatia hata mashoga hupendwa na wanawake

Ushauri, tafuta wajomba au Baba wadogo wakufundishe kuwa Mwanaume.
Hizo tabia ulizotaja zote ni zakike
 
Habari za muda huu wakuu,
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada

Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa najifeel poa sana hasa pale napokuwa peke yangu na naweza kujifungia ndani toka asubuhi mpaka jioni na sioni shida.

Sasa tatizo linakuja upande wa mahusiano kiukweli huwa napendwa sana na wanawake na mimi huwa sijali sana na huwa sina shobo nao hata kidogo hata uwe pisi kali vp mimi nakuona kawaida na salaam kwa wanawake huwa sitoi halafu huwa sitongozi pia, na nikitongoza bac natongoza kibabe sana, na nipo serious muda wote yani kifupi huwa sicheki ovyo na jinsia ke na hata kupiga nao story hakuna mimi huwa nipo bize na my own business,

Sijui lakini tabia zangu zimekuwa zikiwapa maswali mengi jinsia ke na wamekuwa wakijigonga sana lakini sijali.

Tatizo lililonileta hapa ni kwamba tabia zangu zimekuwa kikwazo kuingia kwenye mahusiano japo napendwa na wanawake ila kitendo cha kumtongoza mwanamke kwangu kimekuwa kigumu yani naona kama nimejishusha na mimi kujishusha kwa mtu ndio huwa sipendi.

Sasa hii kitu imenifanya niishi single kwa miaka mingi kiasi ambacho hata mimi nimeanza koboeka pia imeanza kufanya majirani zangu hasa jinsia ke kuanza kupata maswali kuhusu ulijali wangu maana awajawahi niona na mwanamke home hata mtaani pia.

Sasa ni vipi nitaondokana na tatizo hili maana naona nakoelekea si kuzuri kabisa nahitaji relationship lakini ndio hivo sipendi kumpa mtu point 3 rahisi yani kumnyenyekea mtu huwa siwezi na kutongoza huwa natongoza kibabe sana na ukichomoa ndio sirudi yani kifupi ni kwamba huwa sipendi kujishusha kwa mwanamke japokuwa mbususu zao nazitaka sana. Naombeni ushauri wakuu ni vp nitatoka hapa nilipo.

Nb. Mimi sio domo zege ila kutongoza mwanamke naona kama najishusha sana na nikitongoza natongoza kibabe sana. Na ukikataa ndio sirudi huwa sina muda wa kupoteza kubembeleza mtu
Wala usijali mkuu..hiyo kawaida sanaa...mimi nipo dizain yako....sitaki kuonesha unyonge kqa manzi...akizingua mi natoka ndukiii...utofauti ni kuwa mimi napata wale wa kubagain tunamalizana kila mtu na 50 zake..na hiibi baada ya kuingia mkenge kwa boya mmoja wa kiha
 
Huu ndio upuuz

Nyege unazo kutongoza hutaki

Sawa hata James delicious ukimsikiliza anasema alikuwa anawavutia wadada Sana lakn akawa kauzu

Mwishowe akaamua kuwavutia wanaume wenzake had Sasa navyoongea James kawa jasmini

Hicho ndicho unachokitaka Sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa mwambie aendelee hivyo hivyo hata James Delicious alianzaga hivyo
 
Back
Top Bottom