Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Ume Sema una pendwa alafu Tena unatuambia ngumu kuingia kwenye mahusiano...

Basi acha kunaumambo mengi ya kufanya nje ya mahusiano
 
Dingi unapiga sana nyeto hadi unaogopa mademu😂😂😂

Tatizo unakula nyeto excess ukitoka humo unaanza kuwaona madem viazi tu😂😂kwamba hata uwe pisi kali vipi nakuona kawaida😂😂😂😂😂
Kaule imekaa kinyeto sana tena kutoka kwa jenerali wa nyeto
 
Bora uwe hivyo hvyo ila ukijichanganya anga za hao viumbe.
 
Habari za muda huu wakuu,
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada

Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa najifeel poa sana hasa pale napokuwa peke yangu na naweza kujifungia ndani toka asubuhi mpaka jioni na sioni shida.

Sasa tatizo linakuja upande wa mahusiano kiukweli huwa napendwa sana na wanawake na mimi huwa sijali sana na huwa sina shobo nao hata kidogo hata uwe pisi kali vp mimi nakuona kawaida na salaam kwa wanawake huwa sitoi halafu huwa sitongozi pia, na nikitongoza bac natongoza kibabe sana, na nipo serious muda wote yani kifupi huwa sicheki ovyo na jinsia ke na hata kupiga nao story hakuna mimi huwa nipo bize na my own business,

Sijui lakini tabia zangu zimekuwa zikiwapa maswali mengi jinsia ke na wamekuwa wakijigonga sana lakini sijali.

Tatizo lililonileta hapa ni kwamba tabia zangu zimekuwa kikwazo kuingia kwenye mahusiano japo napendwa na wanawake ila kitendo cha kumtongoza mwanamke kwangu kimekuwa kigumu yani naona kama nimejishusha na mimi kujishusha kwa mtu ndio huwa sipendi.

Sasa hii kitu imenifanya niishi single kwa miaka mingi kiasi ambacho hata mimi nimeanza koboeka pia imeanza kufanya majirani zangu hasa jinsia ke kuanza kupata maswali kuhusu ulijali wangu maana awajawahi niona na mwanamke home hata mtaani pia.

Sasa ni vipi nitaondokana na tatizo hili maana naona nakoelekea si kuzuri kabisa nahitaji relationship lakini ndio hivo sipendi kumpa mtu point 3 rahisi yani kumnyenyekea mtu huwa siwezi na kutongoza huwa natongoza kibabe sana na ukichomoa ndio sirudi yani kifupi ni kwamba huwa sipendi kujishusha kwa mwanamke japokuwa mbususu zao nazitaka sana. Naombeni ushauri wakuu ni vp nitatoka hapa nilipo.

Nb. Mimi sio domo zege ila kutongoza mwanamke naona kama najishusha sana na nikitongoza natongoza kibabe sana. Na ukikataa ndio sirudi huwa sina muda wa kupoteza kubembeleza mtu
Ukiona kutongoza imekuwa changamoto jaribu kimasihara ya rikiboy huenda ikakusaidia..
 
Muda umeshasema sana,,, ni wewe tu umeziba masikio hutaki kuusikia muda unasemaje....

Chakalika mtoto wa kike,,Kijua ndio hiki,,usipouanika hakika utaula m'bichi
Hapo sasa nimekuelewa
 
Ww unazingua sana kumjali mwanamke sio kujishusha wanawake wameumwa kujali sana asa awa wakiafrika usipomjali kwa kumpigia simu kwasiku ata mara nne kuwanae karibu mara kwa mara kukuacha ni kugusa tu endelea ivyo ivyo utakoma na dawa itakuingia.
 
Ww unazingua sana kumjali mwanamke sio kujishusha wanawake wameumwa kujali sana asa awa wakiafrika usipomjali kwa kumpigia simu kwasiku ata mara nne kuwanae karibu mara kwa mara kukuacha ni kugusa tu endelea ivyo ivyo utakoma na dawa itakuingia.
Sasa mkuu shida ya hawa viumbe ukiwajali hivyo c ndio wanaleta dharau
 
Ww unazingua sana kumjali mwanamke sio kujishusha wanawake wameumwa kujali sana asa awa wakiafrika usipomjali kwa kumpigia simu kwasiku ata mara nne kuwanae karibu mara kwa mara kukuacha ni kugusa tu endelea ivyo ivyo utakoma na dawa itakuingia.
Umepotoka

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom