Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Yaani "hutongozi harafu unatongoza kibabe"

Basi sawa...
 
hiyo ndio maana ya udomo Zege, ulidhani Somo zege ni Bubu haongei😀😀

Domo zege ni kile kitendo cha kushindwa kumshawishi Mwanamke iwe ni Kwa sababu ulizozitaja au sababu ya kukosa Swaga au aibu au sababu yoyote Ile.

Kumtongoza mwanamke sio kujishusha Bali ni sifa ya urijali wa mwanaume. Kitendo cha kujiona unajishusha thamani kinaonyesha tayari huna hiyo thamani uisemayo, unakosa sifa ya mwanaume labda kijivulana Fulani kinachobalehe.

Yaani unasema unapendwa na wanawaktna hapo hapo unasema upo single muda mrefu sijui unamaanisha nini hapo, zingatia hata mashoga hupendwa na wanawake

Ushauri, tafuta wajomba au Baba wadogo wakufundishe kuwa Mwanaume.
Hizo tabia ulizotaja zote ni zakike
 
Wala usijali mkuu..hiyo kawaida sanaa...mimi nipo dizain yako....sitaki kuonesha unyonge kqa manzi...akizingua mi natoka ndukiii...utofauti ni kuwa mimi napata wale wa kubagain tunamalizana kila mtu na 50 zake..na hiibi baada ya kuingia mkenge kwa boya mmoja wa kiha
 
Sawa kabisa mwambie aendelee hivyo hivyo hata James Delicious alianzaga hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…