KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!.
Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya population yao!, na haohao asilimia 2 wakichunguzwa vyema ni aidha wanahomoni nyingi yakiume!.
Kwa ninayoyaona kwa wanawake wengi namna ya utendaji wao, mapokeo,fikra na hisia ni dhahiri naona kuna dosari kubwa mno kwenye kitu kinachoitwa "uongozi na mwanamke!".
Nieleweke si kwamba wanaume sote tupo vyema kwenye uongozi la hasha!, ila walau nafasi ya uongozi wanaume tunauwezo wa kuitenda vyema kuliko jinsia yakike!.
Na uongozi naoongelea hapa ni katika nyanja zote iwe nyumbani, kazini, kitaifa ama kidini. ikiwa tu anaongoza mwanamke basi we have to check it out!.
Kwanini..??
kwasababu hawa viumbe hata mahali ambapo hawatakiwi kutumia hisia wao wanatumia hisia!.
Pia ni viumbe vyenye maneno sana kuliko vitendo!, wakati uongozi hautaki maneno bali vitendo!.
Uongozi unahitaji kujitoa sadaka na ndio maana kwa mwanaume kuwa na familia anauwezo wakupambania familia hata aibike, lakini kwa mwanamke ni tofauti. Hata mbinu na maarifa yakupambania kitu hawa viumbe wanambinu chache mno!.
kushindwa kwa mwanaume ni kuitia doa familia ila kushindwa kwa mwanamke ni kushindwa tu wala si doa!.
Fikra za mwanamke mara nyingi anajifikiria yeye kuwa ni kiumbe chapili!, nafikiri hii ni natural aidha kutokana na maumbile yao n.k
Kufaulu kwa mwanamke ni doa kwa mwanaume (hivyo ndivyo wanavyofikiri, i mean mwanaume akishindwa kitu fulani halafu mwanamke akakiweza basi jua hilo ni dongo kwako mwanaume na unaweza ukautwa ni Mama!).
Ubinafsi, wanawake kwa ubinafsi ni pro max! chakwao ni chao ila cha mwanaume ni cha wote!.
hichi kitu kwenye uongozi ni sumu kubwa mno haviendani kabisa!.
Mwanamke ndio kiumbe unaweza kumshauri kitu hichi usifuate na ukampa sababu zakimaana kabisa ila kwakutumia hisia zake atafuata tu!, na ndio maana wao ni wahanga wakubwa kwenye masuala yanayohusu imani!, hawajali kuhusu kutumia mantiki ila hisia tupu!.
Nguvu ya mwanamke ipo hapa.
Nje na hivyo nilivyogusia bado mwanamke ananafasi kubwa kwenye jamii haswa kwenye masuala ya,
UZAZI
UHAI
KUTUNZA FAMILIA KIMAADILI IWAPO ATATAMBUA NAFASI YAKE!.
KUTIA MOYO.
MUANGALIZI.
Rai yangu kwa hivi viumbe ni kuijua nafasi yao katika ngazi husika popote pale walipo, na rai yangu pia ni kwasisi wanaume kuijua nafasi ya hawa viumbe na kuwasaidia pale panapotakiwa.
Niwatakie siku njema yenye furaha,burudani na baraka tele.