Mawazo yangu: Waziri wa Maji ndiye kiongozi anayehangaika sana awamu hii

Mawazo yangu: Waziri wa Maji ndiye kiongozi anayehangaika sana awamu hii

Huyu Waziri anapiga kazi kwakweli anapambana saana.
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Kuhangaika, siyo wakati wote, ni uthibitisho wa ufanisi. Mafanikio yanahitajika zaidi ya kuhangaika.
 
Back
Top Bottom