Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kazi Mfate mumeo wewe, utakuja kunishukuru siku 1Kwenu wakuu I hope mko salama..
Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA.
SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!!
Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika barua zinafika hatua flani zinakwama kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupotezwa kwa barua masjara,Mara sijui madiwani wamesimamisha uhamisho, Mara ya mwisho nikaambiwa nitafute wakubadilishana naye,
Nimejaribu Mara nyingi kuweka matangazo ya kutafuta watu wa kubadilishana lakini wapi.. hata humu JF Nimejaribu kuweka matangazo yangu since 2016 nimeambulia patupu.
Imefika mahali sasa Sina mood kabisa ya kufanya kazi kwasababu:
familia yangu yote ipo dar akiwemo mume,mzazi,.na watoto ambao imenilazimu kuwaacha huko angali wadogo kutokana na changamoto zinginezo.
Kutokana na kukosa huko kwa morale ya kufanya kazi najikuta nashindwa kufanya kazi kwa ufanisi Hali inayopelekea kuonekana mzembe kazini n.k. hivyo kujikuta napata barua za maonyo mbalimbali na changamoto zingine.
Kwa Hali hiyo Basi NAONA NI BORA NIACHANE KABISA NA KAZI HII nirudi dar japo mzazi na Mume wamenisihi nisiache lakini kwa upande wangu naona kadri siku zinavyoenda mazingira ya kazi yanazidi kuwa magumu kwangu..
NAOMBENI USHAURI WENU tafadhali..
Au Kama Kuna anayeweza kunisaidia kutoka huku NITASHUKURU SANA.
Asante.
Njoo inbox nikushauri kitu muhimu sana!!Asante.
Basi jitose, ila ingekuwa vizuri ungekuwa ushaanza so unaacha kazi kuimarishaNdio.
Nina uwezo wa kufanya ujasiriamali.
Kwenu wakuu I hope mko salama..
Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA.
SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!!
Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika barua zinafika hatua flani zinakwama kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupotezwa kwa barua masjara,Mara sijui madiwani wamesimamisha uhamisho, Mara ya mwisho nikaambiwa nitafute wakubadilishana naye,
Nimejaribu Mara nyingi kuweka matangazo ya kutafuta watu wa kubadilishana lakini wapi.. hata humu JF Nimejaribu kuweka matangazo yangu since 2016 nimeambulia patupu.
Imefika mahali sasa Sina mood kabisa ya kufanya kazi kwasababu:
familia yangu yote ipo dar akiwemo mume,mzazi,.na watoto ambao imenilazimu kuwaacha huko angali wadogo kutokana na changamoto zinginezo.
Kutokana na kukosa huko kwa morale ya kufanya kazi najikuta nashindwa kufanya kazi kwa ufanisi Hali inayopelekea kuonekana mzembe kazini n.k. hivyo kujikuta napata barua za maonyo mbalimbali na changamoto zingine.
Kwa Hali hiyo Basi NAONA NI BORA NIACHANE KABISA NA KAZI HII nirudi dar japo mzazi na Mume wamenisihi nisiache lakini kwa upande wangu naona kadri siku zinavyoenda mazingira ya kazi yanazidi kuwa magumu kwangu..
NAOMBENI USHAURI WENU tafadhali..
Au Kama Kuna anayeweza kunisaidia kutoka huku NITASHUKURU SANA.
Asante.
Nashukuru Sana mkuu.Ningekuwa wewe, ningetumia fursa hiyo ya ajira kuchukua mkopo na kuwekeza kwenye biashara ninayoamini itanilipa nikiacha kazi.
Hii biashara ningeifungua kabla ya kuacha kazi ili niwe na uhakika wa faida yake. Nikiona imesimama, ndo naacha kazi.
Bila kuwa na mpango mzuri, sikushauri uache kazi. Utawaumiza wengi wanaokutegemea.
[emoji38] duh!Anzisha mradi wa kusafirisha mafuta ya alizeti toka singida hadi dar mumeo akusaidie kuifanya biashara hii!!utamuona anakuja mara kwa mara na nyundo itakuwa inakugonga mara kwa mara na utafurahia Maisha na kusahau kuhama!!!!shida ni nyundo hujapata inayokugonga ipasavyo!!
Hizi mambo za njoo inbox kuwa makini nazo...Mmhh .
Basi pambana mpaka upate uhamishoBado Sana ndugu.
Ndio.
Nina uwezo wa kufanya ujasiriamali.