Ongea na mwenzi wako muone kama mnaweza kusaivu , yaan namaanisha kama ana kipato pia,mkubaliane uache na mkubaliane way forward,usitishwe na wanakuambia usiache, mazingira kama hayo yadikufanye huache watu wako WA thamani kama watoto, Mungu atawafungulia mlango mwingine WA kupata rizki.
Mi nliacha kazi Sina kazi na baada ya mwaka mmoja japo kwa subira nilipata shunguli ya kufanya ambayo nafanya kwa furaha na mafanikio nayaona.
Usiogopee sana hofu, panga muombe Mungu chukua hatua mapema, hiyo Hali SI kwamba itaadhiri familia yako lakini itakuadhiri kiakili na kiafya pia.