Mawazo yenu tafadhali, nakaribia kuacha kazi

Acha kazi Mfate mumeo wewe, utakuja kunishukuru siku 1
 
Anzisha mradi wa kusafirisha mafuta ya alizeti toka singida hadi dar mumeo akusaidie kuifanya biashara hii!!utamuona anakuja mara kwa mara na nyundo itakuwa inakugonga mara kwa mara na utafurahia Maisha na kusahau kuhama!!!!shida ni nyundo hujapata inayokugonga ipasavyo!!
 

Ningekuwa wewe, ningetumia fursa hiyo ya ajira kuchukua mkopo na kuwekeza kwenye biashara ninayoamini itanilipa nikiacha kazi.

Hii biashara ningeifungua kabla ya kuacha kazi ili niwe na uhakika wa faida yake. Nikiona imesimama, ndo naacha kazi.

Bila kuwa na mpango mzuri, sikushauri uache kazi. Utawaumiza wengi wanaokutegemea.
 
Nashukuru Sana mkuu.
Nimezingatia.
 
[emoji38] duh!
 
Wazo lako ni zuri kufanya kazi pasi na kuwa na ari na mwamko wa kazi yako ni tatizo kubwa sana,asilimia kubwa ya matatizo yanachangiwa na mifumo iliyopo pamoja na wajiri kwa sababu zao binafsi au kiutendaji

Nasikiaga wakubwa wa utumishi wanavyo pishanisha habari za kuhusu uhamisho wa waalimu "MSIRUHUSU WALIMU WAHAME,UHAMISHO UMESIMAMISHWA MPAKA MAELEKEZO YATAKAPOTOKA"
kwakweli sio fair hata kidogo

Nakushauri mwalimu jipange kidogo kabla hujaacha hiyo kazi
Kwa kuandaa pesa kipindi ambacho serikali haitakuwa inakulipa
Kwa maana halisi ya mahitaji yako kwa kipindi cha angalau miezi minne au sita na kuendelea
Wakati unaangalia mpango mwingine wa kuingiza kipato ukiwa sehemu tofauti na mwanzo.
Iwe ni biashara au ajira mpya

Alafu Usiache kazi kwa kutoroka andika barua Kabidhi sehemu husika wakujibu endelea na maisha yako kwa amani
Samahani kwa uandishi Mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…