Kama hujui Mambo Bora ukae kimya tu .Mkopo mil 20 kwa mshahara upi wa mwalimu
Wadanganye wasiojua,graduate wa 2020 kuchukua milioni 20,narudia wadanganye wasiojua kuhusu walimu wakongwe kulipwa m 2 hiyo ni sawa nakubaliana na weweKama hujui Mambo Bora ukae kimya tu .
Graduate ajira ya 2020 anao uwezo wa kuchukua hata m17 Sasa Kama huyo Ni mkongwe kazin au ajira ya mwaka 2015 na Ni graduate means saiz alishapanda daraja so m20 Ni za kufikia.
Pia Kuna walimu Wana sifa za kuchukua loan Hadi ya m30 ,usikariri maisha ya zamani ya mwalimu saiz Kuna walimu wanakunja had m2.6 per month
Shida yake sio pesa bali kumisi mjegejo wa mumewe muwe mnaelewa maudhuiBadili changamoto kuwa fursa. Nunua mazao weka dawa bei ikipanda uza, Huko kuna alizeti tumia ajira kama kinga kopa jiongeze .
Wadada wa Instagram hawajawahi kuwa na utimamu wa akili Rudi basi Dar ili Uwe unakua wakwanza kupata connections alafu huyo anaye kupa kiburi Cha kuacha kazi siku akidorora ndiyo utaelewa UMUHIMU WA KAZIKwenu wakuu I hope mko salama..
Nianze kwa kusema mi ni mtumishi idara ya elimu halmashauri flani SINGIDA.
SHIDA YANGU KUU NI UHAMISHO kutoka SINGIDA KURUDI DAR WILAYA YOYOTE ILE HATA PEMBEZONI MWA MJI TU!!
Nimejaribu Mara kadhaa kufanya process za uhamisho lakini zinadunda kila nikiandika barua zinafika hatua flani zinakwama kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupotezwa kwa barua masjara,Mara sijui madiwani wamesimamisha uhamisho, Mara ya mwisho nikaambiwa nitafute wakubadilishana naye,
Nimejaribu Mara nyingi kuweka matangazo ya kutafuta watu wa kubadilishana lakini wapi.. hata humu JF Nimejaribu kuweka matangazo yangu since 2016 nimeambulia patupu.
Imefika mahali sasa Sina mood kabisa ya kufanya kazi kwasababu:
familia yangu yote ipo dar akiwemo mume,mzazi,.na watoto ambao imenilazimu kuwaacha huko angali wadogo kutokana na changamoto zinginezo.
Kutokana na kukosa huko kwa morale ya kufanya kazi najikuta nashindwa kufanya kazi kwa ufanisi Hali inayopelekea kuonekana mzembe kazini n.k. hivyo kujikuta napata barua za maonyo mbalimbali na changamoto zingine.
Kwa Hali hiyo Basi NAONA NI BORA NIACHANE KABISA NA KAZI HII nirudi dar japo mzazi na Mume wamenisihi nisiache lakini kwa upande wangu naona kadri siku zinavyoenda mazingira ya kazi yanazidi kuwa magumu kwangu..
NAOMBENI USHAURI WENU tafadhali..
Au Kama Kuna anayeweza kunisaidia kutoka huku NITASHUKURU SANA.
Asante.
Pole ila usiache kazi. Maana kama yupo moi unaweza ukaacha kazi. Unaenda naye mungu anampenda zaidi. What will be the next?Nature ya kazi yake haimruhusu kuja nilipo pia Ni mgonjwa anaclinic Moi.
Kuanzia Tgts E ambaye hana loan ya heslb anapata loan zaidi ya hiyo 20M,tena kwa bank ambazo now zina 13% yaweza kufika hata 23M kwa 5yrs,ukiupeleka mkopo 7ys unaweza kuchukua kitita zaidiMkopo mil 20 kwa mshahara upi wa mwalimu
Au hata morogoroKama kuna ugumu wa kuhamia dar kwa nini usijaribu pwani? Utakua na uwezekano wa kuwa karibu na familia kila weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
UNa elimu level ipi.. Ili nikisaidie mawazoKwenu wakuu I hope mko salama..