Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

ewe waziri wa ulinzi wa chama Cha ma jobless pro max, mbona una sahau ulinzi wa raisi wako 🤣😅
 
Kuna Kitu umesahau au labda hukijui, JF ilishanipa tuzo ya Mwandishi bora wa Jukwaa la Siasa baada ya kuwagalagaza mamluki wa ccm akiwemo Mayalla , nilisafiri kutoka Ottawa hadi DSM kuchukua tuzo hiyo ofisini kwao.

Sijui kama unanielewa
😂😂😂😂😂😂
 
Platform ambayo ni user generated content kama JF unavamia kutafuta nini? Uwezekano wa kumpata ambaye chapisho lake limekukera ni 0.00000000001%.
 
JF Staff: "Afisa hata ukichukua kompyuta zetu hamna kitu utakuta humo kila kitu kinakwenda moja kwa moja kwa cloud."
Afisa: "Na huyo Kraudi pia tunakwenda kumfuata kwake atupatie raptopu zake."
 
Kila kitu lazima umuhusishe JPM mjinga Wewe pambana na huyo.
Unagongwa na Abdul Hafidhu sio bure au kipindi cha JPM ulikuwa huchagui pa kunya.

Hujui kama wakati wa JPM JF ilipitia kipindi cha kufungiwa na hatukuwa na uwezo wa kuacess JF bila VPN.

Pumbavu
 
Nyuzi za picha za mama zimefungwa na nani tena mimi nilikuwa sijaziona picha za mamaA?

JF imezuiliwa nani anagunga nyuzi sasa, au moderator wako lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…