Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Naomba nisamehewe bure. Nilifananisha na Samwel Sita. Nichukue nafasi hii kuwaomba msahama wote waliokwazika na mamneo yangu.Nimepitwa.
Pius Msekwa ameaga dunia lini?
Naomba nisamehewe bure. Nilifananisha na Samwel Sita. Nichukue nafasi hii kuwaomba msahama wote waliokwazika na mamneo yangu.Nimepitwa.
Pius Msekwa ameaga dunia lini?
Hakika mungu ni mwema maana hali si shwari naambiwa.We are alive 🙏
😣😣😳😳 Kwa kweriiiii tulivamiwa janaa..Hakika mungu ni mwema maana hali si shwari naambiwa.
Na rudia tena kusomba watu kwenye maroli na kuwapeleka mikutanoni ni utamaduni wa ccm tangu mwaka 2010 hivyo katika hilo hamtakiwi kumlaumu kwa chochote.Kama tunamsifia kwa mengine kwa nini hili nalo tusimsifi? Unataka mazuri ndio yawe yake na mabaya ya wengine? Infact, katika awamu zote za CCM Samia kaenda extra mile na kuboresha juhudi za usombaji watu aka ng'ombe wa mama kuwaleta kwenye mikutano ya hadhara ya chama. Amewanunulia boda boda wenyeviti wa vitongoji na vijiji ili iwe rahishi kuhamasisha watu kuja kusombwa na kupelekwa mikutanoni, kanunua mabasi ya kusomba hao ng'ombe na mengine mengi. NANI ALIFANYA HAYO KABLA YAKE? NANI KAMA MAMA?
Duh mkuu hawa wakora walaaniwe mazima maana wanatufanya tusiwe na amani.😣😣😳😳 Kwa kweriiiii tulivamiwa janaa..
Ni nomaaa
Masikitikooo makubwa sanaa...vp mdogo angu Monetary doctor yupo kweriiiiiDuh mkuu hawa wakora walaaniwe mazima maana wanatufanya tusiwe na amani.
Hasa wa WazanzibarWanawake ni wakatili kiasi hiki, waache hii kitu
Nipo mkuu, nipo njema ndo tumetoka Misa ya asubuhii hapa Mt Maxmillian KOLBE mwenge na secretarybird na katumeni cc BICHWA KOMWE - ??Masikitikooo makubwa sanaa...vp mdogo angu Monetary doctor yupo kweriiiii
Is that requirement not confined to tax issues?Saver ndogo zinakuwepo hapa hapa.
Kipindi cha Jiwe vyombo vya habari vyote ikiwemo mitandao ya kijamii walitakiwa ilitungiwa sheria kuhakikisha Serikali ikihitaji backed up taarifa waweze kuzipata na njia moja wapo ni hizo server.
Hukumbuki AZAM MEDIA server zao zilikua Mauritius baada ya takwa like Taarifa za Habari za AZAM TV zilikua hazipatikani mpaka walipo bow down?
Kwanini unanisaliti shemeji?Ahahahah kwann shemu...
Kwani umeshindwa kupika uji wa lishe ule na mbaga hapo
Ngoja nimcheki kwa WhatsAppMasikitikooo makubwa sanaa...vp mdogo angu Monetary doctor yupo kweriiiii
Hahahaha 😂, Leo kwenye kwaya nimeua suti ya nne.Nipo mkuu, nipo njema ndo tumetoka Misa ya asubuhii hapa Mt Maxmillian KOLBE mwenge na secretarybird na katumeni cc BICHWA KOMWE - ??
Sisi ni kazi ya mikono yako,Hahahaha 😂, Leo kwenye kwaya nimeua suti ya nne.
Nilipoteza akaunt ya WhatsApp ntumie tena namba zakoNgoja nimcheki kwa WhatsApp
Hili ni angalizo tu, hapa nchini sio mahali salama sana kuripoti habari huru, wahuni wako serious mnoo. Kwa namna Msigwa alivyopata kiwewe cha ghafla na kupanic ghafla, inaashiria wahuni wamejipanga kikamilifu dhidi ya JF.
Kwa kuwa mahali pekee pa uhakika palipobakia kupata habari huru na uchambuzi wa kina ni JF basi njia salama kwa JF kuendelea kuwepo ni kufanya haya:
1. Kuwa na server nje ya nchi.
2. Kujiandaa na backup version ya JF nje ya nchi, hususani Kenya, South Africa au USA.
3. Kinara wa huu mtandao, Melo asepe zake nje ya nchi.
Safari hii wahuni wamejipanga kukununua, wakishindwa basi watakutisha, ukiwa mbishi watakuteka au kukupoteza, ukiweza kukwepa hilo basi jiandae kufunguliwa kesi za uchochezi, uhujumu uchumi, ugaidi au uhaini.
Ulifanya ziara JF wakakuonesha camera walizoweka chini?Hata leo nakataa
Kuna Kitu umesahau au labda hukijui, JF ilishanipa tuzo ya Mwandishi bora wa Jukwaa la Siasa baada ya kuwagalagaza mamluki wa ccm akiwemo Mayalla , nilisafiri kutoka Ottawa hadi DSM kuchukua tuzo hiyo ofisini kwao.Ulifanya ziara JF wakakuonesha camera walizoweka chini?
Ukaona camera za siri zimewekwa sakafuni!!Kuna Kitu umesahau au labda hukijui, JF ilishanipa tuzo ya Mwandishi bora wa Jukwaa la Siasa baada ya kuwagalagaza mamluki wa ccm akiwemo Mayalla , nilisafiri kutoka Ottawa hadi DSM kuchukua tuzo hiyo ofisini kwao.
Sijui kama unanielewa
Ni mshangazi wangu huyi sasa ww si ukajikuta upo na mbaga...Kwanini unanisaliti shemeji?
Anti dorry ni nani?
Hayo sasa sema weweUkaona camera za siri zimewekwa sakafuni!!