Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Ukiwa CCM kwa nyakati za sasa automatically unakua huna akili, yaani hujitambui. Chama hakina upinzani ila bado kinahangaika na watu, hawajiamini hawa WAPUMBAVU
 
nimesoma kwenye biblia mkuu, tena king james version
Najua umesoma kwenye Biblia.

Lakini hilo halithibitishi Adam alikuwapo.

Unathibitisha vipi Adam alikuwapo na hizo si hadithi za kutungwa na watu kwa kuungaunga tu?
 
Aisee tumieni VPN Kuna msako unafanyika wakijua upo JAMII FORUM kuwa makini
 
Ule ushamba wa kipindi kile bado unaendelea .?

Soon watafungia tena kama X na Clubhouse.

Wanatakiwa waelewe watu wote hawawezi kuwa kasuku wa CCM
 
Yule kamanda nani vile anayesemaga kwa msisito kuwa sababu ya watu kutekwa ni KUJITEKA, WIVU WA KIMAPENZI na IMANI ZA KISHIRIKINA! Yeye huwa hatoki kwenye hizo sababu
 
Server za jf ziko USA huko
Saver ndogo zinakuwepo hapa hapa.
Kipindi cha Jiwe vyombo vya habari vyote ikiwemo mitandao ya kijamii walitakiwa ilitungiwa sheria kuhakikisha Serikali ikihitaji backed up taarifa waweze kuzipata na njia moja wapo ni hizo server.
Hukumbuki AZAM MEDIA server zao zilikua Mauritius baada ya takwa like Taarifa za Habari za AZAM TV zilikua hazipatikani mpaka walipo bow down?
 
Sijawahi kuona watu restless kama ccm mtafungia vitu vingapi?
 
Una uhakika serikali ndo imefanya uvamizi? Wewe tusubiri taarifa ya jeshi la polisi kuhusu haya madai.
Jeshi la polisi ni sehemu ya uhalifu wa kidola nchi hii. Ni taarifa ipi unasubiri toka kwa wahalifu zaidi ya upotoshaji?
 
Back
Top Bottom