Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Tujipe moyo mkuu..

Hizi mbilinge mbilinge tunajua ni Kuna mahali kiti kimetikiswa na wana maombi ....Sasa hapo ni mashtaka yamefika kwa Mungu mkuu wa Nuru, je akianza kuyashuhulikia mashtaka ya wanamaombi je Kuna mtu atabaki?

Wao Wana kafara za damu za watu kwa ajili ya mungu wao WA giza aliewapa kiti ndio mana wanafanya haya na mengine mengi , ila wanamaombi wa Tanzania na duniani kote Wana DAMU YA YESU KRISTO WA NAZARETH...Mungu wa Nuru Yuko kazini ...mtatema bungo...
Hallelujah
 
Back
Top Bottom