Nikusisitizie tena mara ya mwisho. Wewe hukunippa kadi ya kuwa mwanachama wa CHADEMA. Huna sababu yoyote ya kunitambulisha kuwa mwana CHADEMA.Haya 😂✔️
Ninapokuwa upande wa wanayo yasimamia CHADEMA kwa taifa letu, haina maana kuwa mimi ni mwanachama wake.
CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu, sasa hivi ndio pekee wanaobeba matumaini ya ukombozi wa taifa hili. Kwa hiyo nawaunga mkono katika juhudi hizo. Siyo lazima niwe mwanachama wa chama hicho kwa kufanya hivyo.
Ukitaka utambulisho wangu, ni mmoja tu. MTANZANIA.
Maslahi ya taifa letu ndiyo uanachama mkuu zaidi ya chama chochote cha siasa.