Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

uchaguzi wa mwaka 2010 kulikuwa na jaribio la kuizima kabisa jf....2015 wakazima internet...2025 wanajaribu tena kuta wapewe identy na taarifa ya mtu aitwa Britanica...
 
Kama wanamtafuta aende akawaulize wanamtafutia nini atapewa jibu
 
Britanicca,na pia uzushi wa kuzua taharuki umekua mwingi,mara mtu atakufa July,mara September,mara hatogombea,mara itakua kama march 2021
Hii code ya kusema mwanafamilia wao nae watamuua inawaumiza kichwa mana hii code inaleta mtafaruku kwamba kuuliwa kwake maslahi ya nani?

Na kuna member humu ndo mama mwenyewe au nitoe code na mm? 😅
 
Kwa wale wageni hapa jf hii sio mara ya kwanza, kufanya hivo maana ake Kuna watu wanasakwa humu ndani hii ni kutokana na machapisho pamoja na comments za kichochezi.

Note: humu ni sehemu salama hata huyu mmiliki qa jf alishaapa kulinda taarifa za watumiaji wa mtandao huu.
 
Jana mlifukua thread ya May, ya yule bonge. Kuna watu walivuka mipaka, walikuwa wakitoa maneno mazito sana.
Nice to see you again ,ni leo niliwaza kuwa huyu kiumbe yu wapi .

Anyway muda wowote nitashusha uzi nimsifie mama kwa mengi aliyofanya ninapofanya kazi maana nasikia JF imevamiwa ila Mimi sinaga shida na uongozi kabisa si eti ?
 
Nawashangaa sana watu humu wanaoringia fake ID 😂 Serikali kuwapata ni suala la muda tuu na sio kuvimba na fake ID zenu
Liangalie na hili Certified Imbecile JamiiForums Member. Na usikute hata miongoni mwa hao Wavamizi wa Ofisi za JamiiForums lilikuwepo tena likiongoza Msafara kabisa. Mtani wangu wa Kihaya na Kaka yangu JamiiForums Founder Maxence Melo mijitu kama hii ikishajionyesha iko upande ule wa Waovu uwe unawafuta kabisa hapa.
 
Hii code ya kusema mwanafamilia wao nae watamuua inawaumiza kichwa mana hii code inaleta mtafaruku kwamba kuuliwa kwake maslahi ya nani?

Na kuna member humu ndo mama mwenyewe au nitoe code na mm? 😅
Hebu toa code ID ya maza
 
Back
Top Bottom