Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,138
Acha basii?Unaambiwa jamiicheck wametupa laptops na kukimbia kusikojulikana
Acha basii?Unaambiwa jamiicheck wametupa laptops na kukimbia kusikojulikana
aliyefanya adam akafukuzwa eden ni mwanamke, aliyemuuza samson kwa wafilisiti ni mwanamke, aliyeomba kichwa cha yohana kwenye sahani ni mwanamke, aliyemtongoza joseph na baadae akadai mbele ya mfalme kuwa alitaka kumbaka baada ya joseph kukataa takwa lake ni mwanamke.Nasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
Sawa, mvuruge uone. Kwanza namba yake ushafuta??? Au bado unaneng'eneka nayo?Evelyn Salt ni wangu, mwenyewe anajua. Huoni alivyoniita kimadeko
Huyu atakuwa kacheroNo wonder britanicca alikuwa anamtafuta Melo
Samahani mkuu nategemewaWewe rudi hapa! Hakuna kukimbia wala ku log out. Tutayafukua makaburi yako yote.
Waache tuishi nao...., na isitoshe JF hainga spanner ki-viileKwa mada anazoleta Brittanica humu ndani lazima wavamie.Wapo huku na wanafuatilia vizuri tu mada za humu
Tena wewe ndio kidomofomo sana. Unajikojolea sasa kwa uoga.stupid of you
Mkuu,aliyefanya adam akafukuzwa eden ni mwanamke, aliyemuuza samson kwa wafilisiti ni mwanamke, aliyeomba kichwa cha yohana kwenye sahani ni mwanamke, aliyemtongoza joseph na baadae akadai mbele ya mfalme kuwa alitaka kumbaka baada ya joseph kukataa takwa lake ni mwanamke.
hayo ni baadhi tu, bado unasikitika?
sawa lkn nasema mapema kuwa siyo wengine ni waoBila kumsahau ch
Hahaha, watapitia Mada zote ulizochangia siku za nyuma, kama ulimbagaza mama au CCM na JK
Hatoshei jamani!Nasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
Jamaa huwa na muelewa sana.Ndio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
Last kick of a dying horseHuyu mama vipi jamani?
Wapinzani wake wote amewafumga amebaki pakeake lakini bado ana haha!
Huu ujumbe wako ni kama wa kujikweza sana...Ningekuona wa maana sana kama ungetoa hints kwa ambao hawajui namna ya kujlinda hata zile basics tu. Ila kujua kwako na Kujikweza kua unajua indirectly hakusaidii lolote zaidi unaonekana mnafiki. Ndio mana itachukua muda mrefu sana na kwa shida sana revolution kutokea TanzaniaInaonekana unajua kujilinda vizuri huku mitandaoni ila take care coz burner or throwaway email haiko salama kwa asilimia zote and ukiachana na hiyo pia huwa kuna makosa mengi ya kibinadamu unaweza ukayafanya na yakakuacha uchi kwamfano sidhani kama everyday huwa unaingia huku kwa VPN, lakini pia taarifa zako za kulog zinakuacha uchi Kila wakati, lakini tukiachana na IP address pattern recognition inaweza kutumika kujia taarifa zako zinajirudia rudia kutokea eneo gani hasa.
All in all ukiwa umeingia humu kwa mentality ya kiharifu unaweza ukajitahidi kujilinda ikawa ngumu kupatikana mapema ila lazima utapatikana but walio wengi humu wako uchi, ni hayo majina fake tu ndio yanawadanganya wajione wako salama😅😅
wewe nakublock maana hakuna la kujifunza kwakoUna uhakika serikali ndo imefanya uvamizi? Wewe kenge tusubiri taarifa ya jeshi la polisi kuhusu haya madai.
Sio yeye tu na aliyeko nyuma yake pia...rais halisi.Huyu mama vipi jamani?
Wapinzani wake wote amewafumga amebaki pakeake lakini bado ana haha!