Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
kuna mbinu za kujilinda, they wont find youSio siri hali sio nzuri kwa sasa tuchukue tahadhari zaidi members wenzangu haya mambo ya kukosoa wenye nchi wenyewe hawataki wanataka tuwadiscuss wakina diamond na the like..
Hali hii inaogofya sana. Sasa mfano kwenye hizo data wakakosea badala wamtarget member x wao wakamtarget member y si watamuua mtu asie na hatia maana hawa wasio julikana wanaonyesha kabisa sio watu wenye uweredi kihivyo wanapapara nyingi.
Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kila member.