Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Hapa ilipaswa zijae comment za kukataa uhuni, comment za no reforms , no election, lakini sasa inasikitisha sana, kama mtandaoni hali ni hii, sijui huko barabarani hali itakuwaje...

Badala kuonyesha solidarity, kupinga na kukemea uhuni unaoendelea watu wanaanza kukimbia na kumuacha Melo apambane kivyake...
 
Mungu atulinde...

kama aliyechoma picha aliuawa...

vuta picha adhabu atakayopewa mwana jf anayekosoa serikali...
Huyu mwana jamii forums mwenzetu Mdude_Nyagali alichukuliwa nyumbani kwake akiwa amelala na familia yake! Na mpaka sasa hajulikani alipo! Huyu Mheshimiwa na member mwenzetu Tundu Lissu mpaka sasa yupo Ukonga kwa kesi isiyo na kichwa wala miguuu ya uhaini!

Ukijitokeza tu hadharani; unatekwa, unateswa, unafungwa, unapotezwa, unauwawa, nk! Hivi kwa hali hii kweli kuna watu bado wana ujasiri wa kuunga mkono mauaji, utekaji, uonevu, dhuluma, nk? Kweli?
 
Dkt Magufuli has no part kabisa kwenye uuaji. Ni mtakatifu Dkt Magufuli. Ila wabaya wake wali manage kupandikiza mbegu za chuki. Na bado mtakoma
Dhalimu magu ndio muasisi wa huu upuuzi. Kuna wakati walifunga mitandao, hadi jf tukapewa link ndani ya jukwaa la Kenya talk. Naona kwa sasa walioiga upuuzi ule wanautumia.
 
Msigwa aliahidi kuwa kila mtu atafikiwa
Kila mtu atafikiwa ?

Wangekuwa na uwezo huo wangeanza na aliyeanika bank statement za kamanda IGP

Na mabarua ya jeshi na yule msaidizi wa Samia yakiagiza Lugumi alipwe mabilioni

Na aliyeanika alipo mkuu wa TISS hospitalini Turkey...

Unadhani wanapenda ?????

Mkono mrefu wa serikali ni wa kuwafikia kina Deus Soka na Mdude Nyagali na Shadrack Chaula aliyechora picha ya Rais akaichoma. Alipomalizana na mahakama kauliwa.
 
Nikisikia hawajawavua nguo roho yangu itaniuma mmmnooo..

Mmefuta sana thread zangu mabwege nyie watu.
 
Naona kwa sasa walioiga upuuzi ule wanautumia.
Yaani washindwe kuiga utakatifu wa JK Nyerere then wakaige kwa JPM?

Kwa taarifa yako hawajawahi kumuiga JPM kwa sababu alichokifanya jiwe hawakiwezi ni heri ungesema wanamuunga mzee wa Msoga mwizi wa taifa.
 
MEDIA House zote Tanzania kimya kuripoti habari hii ya kustua, kama vile mwenzao ambaye ni chombo cha habari hajakumbwa na uvamizi

Hali hii ya vyombo ya habari ku 'mute' ina dalili mbaya kwa uhuru wa vyombo ya habari na kukosa utetezi kutoka ndani ya tasnia / sector ya habari

TOKA MAKTABA :
21 November 2019


Maxence Melo Mubyazi : 2019 International Press Freedom Awards


View: https://m.youtube.com/watch?v=lPmMrigU-SE
CPJ is honored to present its 2019 International Press Freedom Award to Maxence Melo Mubyazi, a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of breaking news. He has been charged under the country's restrictive Cybercrimes Act and, in 2017, appeared in court 81 times.

Source : Committee to Protect Journalists
 
Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hajaacha tu ujinga wake wa kuvamia media houses....?

Huyu ndiye wana Arusha mnataka we mbunge wenu kweli....????
 
Back
Top Bottom