Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Umeambiwa wamevamiwa Afu Ww unakuja kusema wamewafuata kwenye keyboard 😂Sasa mbona mnawafuata kwenye keyboard,kumbe keyboard zinawatoa udenda na manundu.
Umeambiwa wamevamiwa Afu Ww unakuja kusema wamewafuata kwenye keyboard 😂Sasa mbona mnawafuata kwenye keyboard,kumbe keyboard zinawatoa udenda na manundu.
Melo ni mmiliki wa keyboard na keyboard zake ndio zinamponza mkuu.Umeambiwa wamevamiwa Afu Ww unakuja kusema wamewafuata kwenye keyboard 😂
mtandaoni tu hali ni hii..Sio siri hali sio nzuri kwa sasa tuchukue tahadhari zaidi members wenzangu haya mambo ya kukosoa wenye nchi wenyewe hawataki wanataka tuwadiscuss wakina diamond na the like..
Hali hii inaogofya sana. Sasa mfano kwenye hizo data wakakosea badala wamtarget member x wao wakamtarget member y si watamuua mtu asie na hatia maana hawa wasio julikana wanaonyesha kabisa sio watu wenye uweredi kihivyo wanapapara nyingi.
Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kila member.
Huyo Genta ndiyo nani wewe mwehu??Hofu iliyokujaa na twisheni yako kwa Genta 🐼✔️
Mimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.Nikusisitizie tena mara ya mwisho. Wewe hukunippa kadi ya kuwa mwanachama wa CHADEMA. Huna sababu yoyote ya kunitambulisha kuwa mwana CHADEMA.
Ninapokuwa upande wa wanayo yasimamia CHADEMA kwa taifa letu, haina maana kuwa mimi ni mwanachama wake.
CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu, sasa hivi ndio pekee wanaobeba matumaini ya ukombozi wa taifa hili. Kwa hiyo nawaunga mkono katika juhudi hizo. Siyo lazima niwe mwanachama wa chama hicho kwa kufanya hivyo.
Ukitaka utambulisho wangu, ni mmoja tu. MTANZANIA.
Maslahi ya taifa letu ndiyo uanachama mkuu zaidi ya chama chochote cha siasa.
Hilo swali liwe jibu.Huwa uko neutral au ni wale wale 😆😆
Hawana pesa wana njaa.Japo njaa zao ni nene nene.Mimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.
Ila wewe wakikudaka watabinya pumbu hizo mpka ujambe upepoOoo my God, kama my co-founder Maxence Melo anatafutwa bila shaka hata mimi wameweka rada juu yangu.
Acha nikuhahakikishie Melo kua utakua salama salmini, acha nije hapo kwako kukulinda.
Cc
Poor Brain
Intelligent businessman
Yani namie nawashangaa sana hawa watu kama fisiyaani kupitia huu uzi nimeona rangi halisi ya waTz...
Watu ni wanafiki, halafu waoga balaa, yaani keyboard warriors wapo hapa...
Mambo shemeji 😂😂😂😂Natamani wadukue account ya chiembe watakutana na jibaba lenye madevu.
Wewe ni Mwanamtandao nini!?Dah. Poleni sana. Itakuwa Polepole huyo
KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.✍️📌Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni
Una kadi kabisa?Mimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.
Bora fisi ni kuku kabisa...Yani namie nawashangaa sana hawa watu kama fisi
I missed you Bantu Lady 🥰Nipo ndugu yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI wakati mwingine nabanwa tu na majukumu. Wewe hunaga shida kabisa 😅😅😅😅😅😅😅 kuvamiwa ni kawaida kwa hizi Serikali za kiafrika.