Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Hapa ilipaswa zijae comment za kukataa uhuni, omment za no reforms , no election, lakini sasa inasikitisha sana, kama mtandaoni hali ni hii, sijui huko barabarani hali itakuwaje...

Badala kuonyesha solidarity, kupinga na kukemea uhuni unaoendelea watu wanaanza kukimbia na kumuacha Melo apambane kivyake...
Watu na feki ID JF lakini bado wnaogopa kama nini. Bado hawajiamini wanaona feki IDz zao ni kama real. Huu woga wa watanganyika sijui ulitoka wapi? Nakumbuka kauli ya mzee Butiku naishia kusema moyoni tu hiiiiiii watanzania ni maiti zinazotembea hawajui wanachokitaka wala kukipigania kwa njia yoyote ile wapowapo tu kama misukule!
 
TOKA MAKTABA :
21 November 2019


Maxence Melo Mubyazi : 2019 International Press Freedom Awards


View: https://m.youtube.com/watch?v=lPmMrigU-SE
CPJ is honored to present its 2019 International Press Freedom Award to Maxence Melo Mubyazi, a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of breaking news. He has been charged under the country's restrictive Cybercrimes Act and, in 2017, appeared in court 81 times.

Source : Committee to Protect Journalists


TOKA MAKTABA,:

22 November 2019
Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.


View: https://m.youtube.com/watch?v=KW1VvETj960
Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.
Source : Committee to Protect Journalists
 
Watu na feki ID JF lakini bado wnaogopa kama nini. Bado hawajiamini wanaona feki IDz zao ni kama real. Huu woga wa watanganyika sijui ulitoka wapi? Nakumbuka kauli ya mzee Butiku !
Yaani nimeshindwa kuelewa...
Wengine wanamfikia Britanicca na kuanza kumnanga.. wakati ndio walikuwa wasomaji wakubwa wa nyuzi zake...

Hata Melo leo nimemkubli ame resist kwa kulaani hiko kitendo...

Humu ndani ma freedom fighters wachache sana.. hamna kitu humu..
 
Mimi nasubiria andiko reeeefu kutoka kwa Bwana Lucas Mwashambwa akipongeza vyombo vya usalama kwa uvamizi huo
 
Tatizo JF na Melo walianza kujisahau awamu hii, wakawa kama wanafanya mapambio na kuunga juhudi..wakahis kigo cha Magu nfo meidho wa yote....wakaw had wanafuta nyuzi ukikosoa awamu hii..yako wapi? Huu ni mwanzo tu. Ndo maana watu wanataka mabadiliko ya kweli ys katiba.
 
Mbona kama umechanganyikiwa magufuli ameshakufa unamuongelea unaogopa utawala uliopo au mitanzania mioga sana aisee
Akina Hitler, Mussolin, Amin nk hadi leo tunawaongelea boss wangu. Itakuwa dhalimu magu?
 
Siamini kuwa serikali inaweza kufanya hivyo huenda ikawa wahuni tu, ngoja tusubili POLISI watasema nini.
Angalizo Tuache uzushi na matusi Ili tuendelee kulifurahia jukwaa letu
 
Watu na feki ID JF lakini bado wnaogopa kama nini. Bado hawajiamini wanaona feki IDz zao ni kama real. Huu woga wa watanganyika sijui ulitoka wapi? Nakumbuka kauli ya mzee Butiku naishia kusema moyoni tu hiiiiiii watanzania ni maiti zinazotembea hawajui wanachokitaka wala kukipigania kwa njia yoyote ile wapowapo tu kama misukule!
Acha watutawale hadi mwisho wa dunia, maana tueamua kuwa hivi...
Mtandaoni u umoja hakuna, hivi huko wanapoambiwa watokee road ๐Ÿคฃ .. hakuna mtu atatanguliza hata mbuzi..
halafu sasa hivi PT nao wana mikwara balaa na yale magari kama Land Cruiser meusi juu yana machine gun ๐Ÿคฃ

Aisee Lissu ana kazi.. kupambania umma kama huu
 
Back
Top Bottom