Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Kajasiri mchwala kanajificha kameshindwa kusemea waliopo kana mfuata marehemu


Deal of million dollars, kwishaaa
Majitu maoga sana aisee yaani watawala usika wanawaona wanasema maiti ya miaka 4 nyuma hahaha tanzania ccm itaongoza milele Kwa watu waoga wa aina hii🤣🤣🤣🤣
 
Nyie wapuuzi ndio maana mnabebwa kwenye malori kama mahindi, akili hamna..

Mafuriko yape njia yapite, huwezi kuzuia, utajenga ukuta lakini utabomolewa tu...

Wakati ukifika umefika..
Mello akawatqje tu wanaotukana hapa JF, tumechoka
 
Ndugu YANGU USIJE Fanya jambo eti watz wako nyuma yako nakutadhaharisha stand at your own marehemu mengi aliwahi sema, wanasema tuko nyuma yako ukigeuka huwaoni


Deal of million dollars, kwishaaaaa
Ni kweli, lakini tusikate tamaa..
 
Hujaweza kuthibitisha kwamba si hadithi.

Sitaki kila mtu awe kama mimi, nataka tujue ukweli ni upi na hadithi za kuungaunga ni zipi.

Ukiamua kuamini hadithi nitatetea haki yako ya kuamini hadithi hata kama mimi siziamini.

Lakini tuzijue hizi ni hadithi za kuungaunga tu.

Una haki ya kikatiba na kibinadamu kuziamini hadithi hizo. Mtu yeyote akiingilia haki hiyo nitakusaidia kuilinda.
ROGER THAT CHIEF
 
Nyie JPM ameshafariki miaka imepita, unataka wakamfufue aje arekebishe makosa aliyofanya...
Au utawala uliopo ndio unapaswa kujirekebisha?
Mtamlaumu huyo mzee hadi lini? mtu kafariki bado hamumuachi...
Huyu anatafutaga sehemu ya kuchomekea neno JPM hata kama wanaongelea wana mtandao na ufisadi wao. Sijui alipofariki alimuacha na mimba!?😂
 
Back
Top Bottom