ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Hujaona pm yangu imevamiwaNjoo in box kuna jambo nataka tuongee
Hujaona pm yangu imevamiwaNjoo in box kuna jambo nataka tuongee
Tena!!?Hujaona pm yangu imevamiwa
Itakuwa ni moja ya wale walikutana na lile panga la vyeti fake kazini na deals za mjini...Huyu anatafutaga sehemu ya kuchomekea neno JPM hata kama wanaongelea wana mtandao na ufisadi wao. Sijui alipofariki alimuacha na mimba!?😂
Kama nimfanyiavyo Mama yako Mzazi.Unalombwa
Na ni kwanini mtukane? Hamuwezi kujenga hoja bila kutukana. October tunatiki.Sisi hatuna kosa zaidi ya kutukana tu. Watu muhimu ni wa kina britanicca ,yoga Wenye classified info
Kazi kweliInadaiwa anayesakwa ni Melo.
Mwenye Taarifa kamili ailete hapa haraka
Kwani wapi ninesema nataka uthibitisho kuwa Melo kavamiwa?Sasa kiongozi si kila sehemu utatumia logic..
Punguza hayo mambo..
Rafiki yako anakupigia simu yupo kwenye shida utaanza kumuambia hebu nihakikishie kweli kama upo matatizoni?
wakati mtu anahitaji msaada wa haraka?
Melo katoa post kwene instagram kwamba wamevamiwa, unataka uthibitisho upi zaidi ya huo? mengine wameshasema watatujuza...
Ngoja nibahatishe ni Tindo 😄Huyu anatafutaga sehemu ya kuchomekea neno JPM hata kama wanaongelea wana mtandao na ufisadi wao. Sijui alipofariki alimuacha na mimba!?😂
Ukuzuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.Na ni kwanini mtukane? Hamuwezi kujenga hoja bila kutukana. October tunatiki.
Nimefuatilia comment nyuma naona mimi ndiye sikuelewa mada..Kwani wapi ninesema nataka uthibitisho kuwa Melo kavamiwa?
Unaelewa kuwa tulimpigania Melo alivyoshikikiwa na Polisi tangu utawala wa Kikwete?
Unaelewa kuwa mini na Mwanakijiji nxio tulioongoza jitihada za kuwajulisha The Committee for Protection of Journalists wakakinukisha mitandao mikubwa dunia nzima mpaka Kikwete akawaambia wale askari wake wamuachie Melo, yeye hana shida na hao vijana kina Melo, ana shida na nchi yake kuchafukiwa mitandaoni kuwa inami ya uburu wa habari?
Hili suala ambalo mimi nalijua na kulifuatilia tangu enzi za urais wa Kikwete, unasema nidai ushahidi leo?
Hili ndio kubwaMelo kampa airtime sana balozi
Melo anatafutwa na Abduli na Samia, kwakuwa Usalama, TDF, Police wapo mfukoni mwa abduliNimefuatilia comment nyuma naona mimi ndiye sikuelewa mda..
Kumbe mlikuwa mnazungumzia mambo ya Adam na Eve..
Sorry mkuu🙇♂️ nikajua unataka uthibitisho wa Melo kukamatwa..
Kaka kiranga heshima kwako, nafurahi kukuona humu tena.. maana imekua muda Sasa.Hujaweza kuthibitisha kwamba si hadithi.
Sitaki kila mtu awe kama mimi, nataka tujue ukweli ni upi na hadithi za kuungaunga ni zipi.
Ukiamua kuamini hadithi nitatetea haki yako ya kuamini hadithi hata kama mimi siziamini.
Lakini tuzijue hizi ni hadithi za kuungaunga tu.
Una haki ya kikatiba na kibinadamu kuziamini hadithi hizo. Mtu yeyote akiingilia haki hiyo nitakusaidia kuilinda.