Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Sawa

Mimi ni miongoni mwa wanachama wa mwanzo wa Chadema tawi la Keys Kisutu Majamatini

Ahsante sana 🙏
CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.

Halafu unakuja hapa na vimizaha kila leo; kana kwamba kuna ngonjera!
 
Kaka kiranga heshima kwako, nafurahi kukuona humu tena.. maana imekua muda Sasa.
Heshima kwako kaka.

Nipo kila siku labda tunapishana tu.

Hii habari inanikumbusha mbali sana miaka ya urais wa Kikwete Max alivyoshikiliwa tukapigana mpaka akaachiwa.

Kikwete aliwaambia wale polisi wamuachie Max kwa sababu kumshikilia kukikuwa kunalipa taifa jina baya sana.

Inaonekana siku hizi hawajali image ya nchi tena.
 
Melo anatafutwa na Abduli na Samia, kwakuwa Usalama, TDF, Police wapo mfukoni mwa abduli
Wakitumia mabavu kuendelea hadi 2030, kutakuwa na misukosuko sana, ni vyema kukubali mapema kama hukubaliki ukae kando..

Sijui agenda yake ni ipi, yaani akikaa anaelewa fika hapendwi ila analazimisha hadi kubeba watu na malori ya mchanga wanavunjika viuno na kufariki..

Inasikitisha sana...
 
Mimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.
Sote tumepitia huko mkuu, 'Tate'. Nchi hii iliwahi kuwa na chama cha CCM kilicho simamia maslahi ya nchi hii kwelikweli
 
CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.

Halafu unakuja hapa na vimizaha kila leo; kana kwamba kuna ngonjera!
Ikiwa imekufa je tutasemaje juu ya wanachukua chako mapema?
 
Nyie JPM ameshafariki miaka imepita, unataka wakamfufue aje arekebishe makosa aliyofanya...
Au utawala uliopo ndio unapaswa kujirekebisha?
Mtamlaumu huyo mzee hadi lini? mtu kafariki bado hamumuachi...
Tunawalaumu kina Hitler hadi leo, itakuwa dhalimu magu?
 
Ikiwa imekufa je tutasemaje juu ya wanachukua chako mapema?
Hawa ni majambazi wanaotumia ngozi ya kondoo (CCM), wakati uhalisia ni kuwa wao ni chui.
Ndani ya Genge la Samia hakuna hata mmoja anaye amini ilichokuwa inasimamia CCM.
 
CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.

Halafu unakuja hapa na vimizaha kila leo; kana kwamba kuna ngonjera!
Chadema haijafa ila Wachaga ndio wamekimbia baada ya kufanya Biashara kwa miaka 33

Mimi milianzia TYL, kisha Chadema, NCCR na 2000 nilirejea nyumbani CCM tawi la Kambangwa mwananyamala 😄✔️
 
Back
Top Bottom