Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Naona SATIVA kupitia mtandao wa X, kaeleza kisa kizima kuhusu huu uvamizi na sababu ya uvamizi wenyewe.
Mkuu x unawezaje kui access, tupeane mbinu.Naona SATIVA kupitia mtandao wa X, kaeleza kisa kizima kuhusu huu uvamizi na sababu ya uvamizi wenyewe.
Mimi mwenyewe nimeelezw tu na mtu mwingine mkuu.Mkuu x unawezaje kui access, tupeane mbinu.
Binafsi kabla ya hiyo platform kupigwa pin hapa bongo nilikuw naitumia badae simu ikaharibika nakuja kubadili simu niinstall it was too late for me, ku install haifunguki 😁
Kama hizo taarifa siyo za kweli basi zingelikuwa zilisha kanushwa.Kwanza natoa pole kwa taarifa hizi. Pili kwa nini taarifa toka mmiliki wa jf zitolewe kwenye platform nyingine na sio jf?
Tumia VPN serviceMkuu x unawezaje kui access, tupeane mbinu.
Binafsi kabla ya hiyo platform kupigwa pin hapa bongo nilikuw naitumia badae simu ikaharibika nakuja kubadili simu niinstall it was too late for me, ku install haifunguki 😁
OdabNasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
Britanicca = HPBritanicca na wafuasi wake wanatafutwa
😂😂Hivi max si afute na kuzima l hizo server juu kwa juu huko wakose wote
Jf ni shuleMaxence Melo kama hauko upande wa serikali, mara moja kuanzia sasa waambie wafanyakazi wako wafanye data masking and anonymozation ya taarifa zote ambazo ni PII (Personally Identifiable Information).
Data zote za Jamiiforums, zihamishe kwenye servers za Ulaya, data zote zitakuwa chini ya (GDPR ya EU), Jamii forums haikusanyi data za Goverment issued IDs kwa hiyo sio shida kwenye data protection act.
Ukifanya hivi serikali ya Tanzania inakuwa haina uwezo wa Kisheria wala kimamlaka kukushitaki au kutaka taarifa za watu wake, wakitaka kukupata taarifa watatakiwa kufungua kesi kwenye nchi ambayo utakuwa umehamishia taarifa, kitu ambacho wao watatikiwa kuwa na kibali cha mahakama ya huko, hilo hawana uwezo nalo
We jamaa😁CCM Wanatusaka Kwa udi na uvumba yalivyo maboya yanahisi yakivamia ofisi ya Jf basi watawakuta members wote wa jf wamejifungia ndani ya ofisi
Task force.
Wahuni! Wapo radhi wafanye haramu yoyote ilmradi wafanikiweTask force.