Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,138
Acha woga wewe server ziko USA na hii sio mara ya kwanza "silikali" kwenda huko JFNapenda mno.
Sema niko kwenye majonzi
Acha woga wewe server ziko USA na hii sio mara ya kwanza "silikali" kwenda huko JFNapenda mno.
Sema niko kwenye majonzi
Mi👊 tenaKabisa bro
Samuya, aaah samia mitano tena....
Inasikitisha sana mkuu 😂Hahaha acha masihara wakati watu wako kwenye taharuki mkuu🤣🤣
🥺🥺🥺🥺🤔🤔🤔🤔🤮🤮🤮🤮Mshana ukiwa kilingeni hapo Msata, ukisikia hodi chungulia ramli kabisa, ujue ni nani kabla ya kufungua mlango,
Yawezekana wameshadukua JF na kujua jina na makazi yako, na usvyoipenda CCM lazima wakulete ununio,
OK. Kwa hiyo ni suala la kuamini kitu tu kama hadithi bila uthibitisho?sina uthibitisho mkuu.
SawaAcha woga wewe server ziko USA na hii sio mara ya kwanza "silikali" kwenda huko JF
Je, tupo salama humu?Hakuna kuogopa tuendeleze mapambano, jamii forum ndiyo sauti yetu wanyonge, kwani watatufikia wangapi?
Kafanyaje?Polepole mtu mbad
Haya 😂✔️Siwezi kumaliza kwa mtu wa aina yako; na wengine wote unao fanana nao.
Huu ni wajibu wangu kwa Tanzania.
Naunga mkonoDkt Magufuli has no part kabisa kwenye uuaji. Ni mtakatifu Dkt Magufuli. Ila wabaya wake wali manage kupandikiza mbegu za chuki. Na bado mtakoma
Wakikushindwa mara ya kwanza wanakuja kivingine kwa mbinu bora zaidi na zilizoboreshwa.Ila max alisimama na jf kipindi kile, mi naona si vema kumlaumu...... Aliweka knde rehani kutetea wanachama.
Aaah nimecheka sana ila xhunga mdomi kakah uhuru utakuponzaNo no no.Wanarudi enzi za 2006 za JK. Ninajua kisa ni JF kuendelea kupost kwa uhuru .JF hawajafungwa midomo kama walivyofungwa Millard Ayo na wengine.
Kujikweza au kutokujikweza ni fikra tu ya msomaji namna ambavyo ataamua kusoma comment na kuchagua upande wa kuziweka hasa ikiwa hakwenda na floo nzima ya majibizamo husika... Sikuandika kwa mazingatio ya hints za kujilinda ila nimeandika kama jibu kulingana na comment iliyopita ya huyo muhusika.Huu ujumbe wako ni kama wa kujikweza sana...Ningekuona wa maana sana kama ungetoa hints kwa ambao hawajui namna ya kujlinda hata zile basics tu. Ila kujua kwako na Kujikweza kua unajua indirectly hakusaidii lolote zaidi unaonekana mnafiki. Ndio mana itachukua muda mrefu sana na kwa shida sana revolution kutokea Tanzania