Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Dude, hamna sehemu hicho unachotaka kutuaminisha kilipoandikwa. I rest my case.
Haaminishi chochote, yeye ameandika definition ya 'safety valve' kwa mujibu wa AI.
Kukubali au kukataa ni uamuzi wako.
 
Hii uliisoma wapi? Leta source ya kuvalidate post yako kwamba ukizuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.
Kiranga bado hujaweza kuonesha kwamba
Nimekuwekea nukuu ndefu ya Kiingereza.

Imefafanua kila kitu kwa namna ambayo sikufikiri nitahitaji kufafanua tena.

Ulivyonijibu ni kama vile hukuisoma au hujui Kiingereza kabisa.

Unajua Kiingereza?

Nisije kuweka maandiko marefu ya Kiingereza kwa mtu asiyejua Kiingereza.
Katika hiyo nukuu uliyoiweka hakuna sehemu inayosema wananchi wanaweza kuitukana Serikali ili kutoa frustrutions zao na hii ndio hoja uliyoanza nayo jana na ndiyo niliyokuambia uivalidate.
 
Kiranga bado hujaweza kuonesha kwamba

Katika hiyo nukuu uliyoiweka hakuna sehemu inayosema wananchi wanaweza kuitukana Serikali ili kutoa frustrutions zao na hii ndio hoja uliyoanza nayo jana na ndiyo niliyokuambia uivalidate.
You are a troll.

A troll that doesn't understand free speech.

Either that or a person of unbearable unintelligence

I have no interest in debating neither.

I have better things to do with my time.

Like, I am currently reading Abdulrazak Gurnah's "Gravel Heart".

Professor Gurnah's characters are more interesting that a garden variety JF troll, or an ignoble imbecile.

I am putting you in my ignore list so I will no longer see your trolling.

From here onwards I will not see any of your posts.
 
Tatizo Serikali Haijui.

Wakiendelea hivi ni simple tu, Operations zote za JF zita hamishiwa Nairobi.

Hapo ndo watajikuta wamepoteza ata hiyo control ndogo walio nayo
Gateway ya George Soros and associates

Aisee
 
You are a troll.

A troll that doesn't understand free speech.

I have no interest in debating trolls.

I have better things to do with my time.

Like, I am currently reading Abdulrazak Gurnah's "Gravel Heart".

Professor Gurnah's characters are more interesting that a garden variety JF troll.

I am putting you in my ignore list so I will no longer see your trolling.

From here onwards I will not see any of your posts.
I will also put you in my ignore list so i wont be seeing your gabbage
 
Hili ni angalizo tu, hapa nchini sio mahali salama sana kuripoti habari huru, wahuni wako serious mnoo. Kwa namna Msigwa alivyopata kiwewe cha ghafla na kupanic ghafla, inaashiria wahuni wamejipanga kikamilifu dhidi ya JF.

Kwa kuwa mahali pekee pa uhakika palipobakia kupata habari huru na uchambuzi wa kina ni JF basi njia salama kwa JF kuendelea kuwepo ni kufanya haya:
1. Kuwa na server nje ya nchi.
2. Kujiandaa na backup version ya JF nje ya nchi, hususani Kenya, South Africa au USA.
3. Kinara wa huu mtandao, Melo asepe zake nje ya nchi.

Safari hii wahuni wamejipanga kukununua, wakishindwa basi watakutisha, ukiwa mbishi watakuteka au kukupoteza, ukiweza kukwepa hilo basi jiandae kufunguliwa kesi za uchochezi, uhujumu uchumi, ugaidi au uhaini.
 
Hili ni angalizo tu, hapa nchini sio mahali salama sana kuripoti habari huru, wahuni wako serious mnoo. Kwa namna Msigwa alivyopata kiwewe cha ghafla na kupanic ghafla, inaashiria wahuni wamejipanga kikamilifu dhidi ya JF.

Kwa kuwa mahali pekee pa uhakika palipobakia kupata habari huru na uchambuzi wa kina ni JF basi njia salama kwa JF kuendelea kuwepo ni kufanya haya:
1. Kuwa na server nje ya nchi.
2. Kujiandaa na backup version ya JF nje ya nchi, hususani Kenya, Soutu Africa au USA.
3. Kinara wa huu mtandao, Melo asepe zake nje ya nchi.

Safari hii wahuni wamejipanga kukununua, wakishindwa basi watakutisha, ukiwa mbishi watakuteka au kukupoteza, ukiweza kukwepa hilo basi jiandae kufunguliwa kesi za uchochezi, uhujumu uchumi, ugaidi au uhaini.
Sawa tu hata enzi zile tulikimbilia Kenya
 
Max inabid ashee hao watu walivamiaje....tunastahili kujua
 
Back
Top Bottom