ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Siwaamini jf naona NI walewale tu
Waliwahi kukufanya nini?Siwaamini jf naona NI walewale tu
Naona SATIVA kupitia mtandao wa X, kaeleza kisa kizima kuhusu huu uvamizi na sababu ya uvamizi wenyewe.
Shetani hajawahi kumshinda MunguKama wewe sio kifaru kweli siasa za upinzani JF sio mahala pake.
Iko wazi ,anguko la shetani na wafuasi wake liko karibuShetani hajawahi kumshinda Mungu
PLAUZ ikibana nyanya kiapo kinatupwa kule, atataja mpaka ambao hakuulizwa.Kwa wale wageni hapa jf hii sio mara ya kwanza, kufanya hivo maana ake Kuna watu wanasakwa humu ndani hii ni kutokana na machapisho pamoja na comments za kichochezi.
Note: humu ni sehemu salama hata huyu mmiliki qa jf alishaapa kulinda taarifa za watumiaji wa mtandao huu.ause
sio kweliShetani hajawahi kumshinda Mungu
🥰Bora waeke tuwaone..!!
Kuifungia hawawezi ndiyo maana wanavamiaHawawezi kuzirusha hapa kuhofia usalama wao na kuifungia
Media Censorship continueKuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni
UPDATE: Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa kwenye ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi
Ulikataa wewe siyo moderatorNchi Imefika patamu sana! Unajua pale JF cctv camera zimewekwa kwenye sakafu, sasa hawa watekaji wajinga wanadhani ni kama zile za kwenye uwanja wa Mkapa.
Wamenasa na wameanikwa wote!