gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Watu Wana mamlaka wasiweze kufungia,huwa mnafikiri kweli!?.. halafu wakifungia mnalalamikaKuifungia hawawezi ndiyo maana wanavamia
Watu Wana mamlaka wasiweze kufungia,huwa mnafikiri kweli!?.. halafu wakifungia mnalalamikaKuifungia hawawezi ndiyo maana wanavamia
Nimepitwa.Kumiliki JF.
Tukumbuke kuwa marehemu Pius Msekwa, wakati anataja sababu za kura za Kikwete kushuka kwenye kipindi chake cha pili cha urais, JF ilitajwa kama sababu mojawapo ya kura zile kushuka..!!
Hata leo nakataaUlikataa wewe siyo moderator
Hawana uwezo huoWatu Wana mamlaka wasiweze kufungia,huwa mnafikiri kweli!?.. halafu wakifungia mnalalamika
Hii inawezekana ikawa ndio sababu wengi wa mataahira wa humu JF; kama akina Tlaatlaah; kavulata; na wengine leo hawajaleta takataka zao humu; kwa sababu walikuwa kwenye kazi ya utekelezaji waliyo tumwa kuifanya?Nchi Imefika patamu sana! Unajua pale JF cctv camera zimewekwa kwenye sakafu, sasa hawa watekaji wajinga wanadhani ni kama zile za kwenye uwanja wa Mkapa.
Wamenasa na wameanikwa wote!
Mamlaka yapo wapi?Watu Wana mamlaka wasiweze kufungia,huwa mnafikiri kweli!?.. halafu wakifungia mnalalamika
Huoni censorship inayofanyika sasa hiviWaliwahi kukufanya nini?
Huo ni msemo wa Waingereza/Wamarekani. Lookup "safety valve theory". Waingereza walikuwa wanaelezea kwa nini wao wanaruhusu sana uhuru wa habari mpaka kuna sehemu Uingereza unaweza kwenda ukamtukana mpaka mfalme wao bila kufanywa kitu.Sawa kama ni mawazo yako yanaweza kuwa ni sahihi ama yasiwe sahihi. Mawazo yako yanaweza yasiwe na solid foundation na ndio maana nilisema kuna haja ya kuvalidate ulichokisema. Sasa huna fact za ushahidi wa ulichoongea kama ni kweli ama la. An opinion becomes valid not just because it’s yours, but because it is supported by truth, reason, and evidence.
Kipindi cha magufuli zilikuwa hukoTatizo Serikali Haijui.
Wakiendelea hivi ni simple tu, Operations zote za JF zita hamishiwa Nairobi.
Hapo ndo watajikuta wamepoteza ata hiyo control ndogo walio nayo
Wewe ni Bingwa wa kuandika riwaya nusunusu hujawahi maliza riwaya humu🤔Walewale kina nani?
Mimi ni Mimi.
Sina ushabiki, ufuasi, Wala chama.
Mimi ni mtibeli. Sina hofu Kwa upande wangu. Ila naangalia haki ilipo nami nipo.
Hiyo safety valve theory uliyoielezea nimeisoma na sicho unachoandika hapa, hakuna sehemu walipoandika jamii ama wananchi wanapaswa kuitukana Serikali ama Viongozi so as to express their frustrations. Kwenye mijadala yako tangu ulipoanza ukitoa neno kutukana na pengine ukali subsititute na kuelezea kero na malalamiko hao/kutoa maoni yao/kuonesha kutoridhika kwao/kutoa michango yao/kutoa ushauri/kutoa pongezi n.k utakuwa umeliweka vizuri.Huo ni msemo wa Waingereza/Wamarekani. Lookup "safety valve theory". Waingereza walikuwa wanaelezea kwa nini wao wanaruhusu sana uhuru wa habari mpaka kuna sehemu Uingereza unaweza kwenda ukamtukana mpaka mfalme wao bila kufanywa kitu.
Wao wanaona huo uhuru ni sehemu ya ustaarabu unaozuia mapinduzi ya kutumia nguvu.
Wao wanaona kuwa ni bora uwape wananchi uhuru wa kutukana watukane watakavyo, iwasaidie wasifike kwenye kupanga kuiangusha serikali kwa nguvu, kwa sababu kwanza kuna wengine wengi wakishatukana ndiyo wamepata sehemu ya ku let off steam wataendelea na mambo yao mengine.
Lakini pia, kupitia kutukana huko serikali itapata feedback na kujua kero za watu ni zipi. Lakini pia, hata kama serikali inataka ku monitor watu, kuwapa uhuru wa kutukana ni mkakati mzuri wa kuwadhibiti, kujua nani anawaza nini. Ukiwazuia watu kutukana maana yake umewazuia watu kuropoka mipango yao mibaya. Ndiyo hapo sasa wanaopanga kufanya mapinduzi watapanga chinichini mpaka yatokee vyombo vya usalama vitashindwa hata kuwafuatilia.
Ndiyo maana wenzenu wameachia uhuru mpaka kwenye nitandao ma Facebook ma Twitter, halafu wana i monitor. Mpaka Polisi wao wanakuwa na sehemu kubwa ya kufuatilia watu. Nyie mnafungia watu uhuru hata Polisi wenu mnawapunguzia nafasi ya kujua kinachoendelea.
Wamarekani wana First Amendment, unaruhusiwa hata kuichoma bendera ya Marekani moto kama sehemu ya free speech.
Ni huku kwetu ambako tunapelekana kwa viboko watu wanatumia nguvu kuliko akiki ndiko bado hatujaelewa kuwa kuwaachia watu uhuru wa kutukana ni sehemu ya kuwadhibiti pia.
My dude, can you even Google?Hiyo safety valve theory uliyoielezea nimeisoma na sicho unachoandika hapa, hakuna sehemu walipoandika jamii ama wananchi wanapaswa kuitukana Serikali ama Viongozi so as to express their frustrations. Kwenye mijadala yako tangu ulipoanza ukitoa neno kutukana na pengine ukali subsititute na kuelezea kero na malalamiko hao/kutoa maoni yao/kuonesha kutoridhika kwao/kutoa michango yao/kutoa ushauri/kutoa pongezi n.k utakuwa umeliweka vizuri.
2020 kama sikosei😅Hahaha! kuna kipindi tulipataga hifadhi huko sijui kilitokeaga nini jf nshasahau, umenikumbusha mbali sana mkuu 🤣
Dude, hamna sehemu hicho unachotaka kutuaminisha kilipoandikwa. I rest my case.My dude, can you even Google?
AI Overview
The Safety Valve Theory has three primary meanings: a philosophical justification for free speech as a way to prevent violence, an economic concept suggesting that free land in the American West relieved population pressure and unemployment in the East, and a specific historical theory that the Indian National Congress (INC) was established by British authorities to allow discontented Indians a peaceful outlet, thereby preventing violent rebellion.
In terms of Freedom of Speech
This philosophical interpretation suggests that citizens expressing their opinions and displeasure through speech acts as a "safety valve".
By providing a peaceful, non-violent means for people to voice concerns and protest, the theory posits that the likelihood of resorting to violent methods to achieve their goals is reduced.
The First Amendment's protection of free speech and assembly is seen as embodying this principle, allowing for "more speech" to counter "bad speech".
In terms of American Economic History
This theory, attributed to economist Frederick Jackson Turner, proposed that the vast, open American frontier acted as a safety valve for the growing population.
Frustrated individuals or those facing poor conditions in the East could move West to the frontier, seeking new economic opportunities.
This westward migration relieved population and resource pressure in the East and fostered ideals of democracy, economic equality, and individualism, which is sometimes linked to policies like the Homestead Act of 1862.
In terms of the Indian National Congress
This is a specific historical theory about the founding of the Indian National Congress in 1885.
Proposed by Indian nationalist leader Lala Lajpat Rai, the theory suggests that the British, fearing a repeat of the 1857 Mutiny, supported the establishment of the INC to provide a platform for educated Indians to voice their grievances.
By giving the movement a seemingly "safe" and constitutional outlet under the guise of an English ex-official like A.O. Hume, the British hoped to "let off steam" and prevent a more dangerous, widespread revolutionary movement.
Ninachotaka kukuaminisha ni kipi?Dude, hamna sehemu hicho unachotaka kutuaminisha kilipoandikwa. I rest my case.
Kwani Mkuu kujua au kutojua Kiingereza ni kipimo cha nini? Na kimewekwa na nani? Mbona hiyo hoja uliitafsiri na kuieleza kwa kiswahili? Na ilieleweka? Sasa Kiingereza kimeingia vipi hapo?Ninachotaka kukuaminisha ni kipi?
Mimi siamini katika kuamini kama tunaweza kujua.
Ninapata mashaka kama unajua Kiingereza.
Mbona Kiingereza kinaeleweka kirahisi tu kimeeleza hoja nzima ya kuwaachia watu wawe na uhuru wa kujieleza ili wa let off steam, the very words I used, wasifanye mapinduzi ya kutumia nguvu?
Huelewi wapi?
Nimekuwekea nukuu ndefu ya Kiingereza.Kwani Mkuu kujua au kutojua Kiingereza ni kipimo cha nini? Na kimewekwa na nani? Mbona hiyo hoja uliitafsiri na kuieleza kwa kiswahili? Na ilieleweka? Sasa Kiingereza kimeingia vipi hapo?
Issue kubwa hapa unajaribu kutuaminisha kwamba ni sahihi wananchi kuikosoa Serikali kwa kutukana jambo ambalo sio sahihi na hata hiyo theory uliyoizungumzia haijaweka wazi kwamba wakati wananchi wanapotoa yao ya moyoni ni sahihi waitukane Serikali. Mkuu Ninaamini kuna kitu unajifunza hapa au tusiwe tunapoteza muda tu kubishana.