Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Hahahhaha kama mazuri lile

Samia Suluhu Hassan hoyee Octoba tunatiki

USSR
 
Kwamba muda huu ndio afanye hivyo

USSR
 
Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi

Hili ni shambulio dhidi ya uhuru wa kuzungumza, kupeana elimu ya uraia, na masuala kibao ya kuwezesha raia kuwa watu huru wenye taarifa sahihi za kuwawesheza kupata maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kijiopolitiki

Wanataka watu wasiwe na ufahamu au kuwa watu huru.
 
Ila kila lenye mwanzo lina mwisho,mungu ainayeishi atasimama na watanzania siku moja dhidi wadhalimu na mafisadi wa nchi hii,,wanachi hatuna uhuru wa kijieleza wala kuchagua viongozi tunaowata,ccm pumbavu zenu mlaaniwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…