May be this love not for me

Huyo sio wako tena
Hata usiwaze kulipiza kisasi
Kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi, easy
Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi
Kwenye moyo wake huna nafasi, easy
Usilazimishe, utazeeka vibaya
csikulazimishe, no no noo
 
Kuna Bidada nmekutana nalo Supermarket, Sasa nikaliongelesha likanipa namba ilikua mida ya saa nane mchana.

Baadae tukachat chat mwisho tukakubaliana tutiane usiku wa Leo

Wakat wakuchat naona likakosea kutuma meseji ,likaituma kwangu ukisema "kama huji nambie Baba".

Hiyo ilikua kama saa 12 jion.

Nikauliza vp, likasema, ohoo ni Baba wa watoto wangu ameniambia nimsubiri aniletee Pesa ya watoto wake maandalizi shule.

Baadae likawa halijibu sms, na sim halipokei.


Nikaona isiwe Tabu ..nikafuta namba zake .



Najua litajichanganya kesho kunitafuta .
 
baba alienda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…