Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibabe sana hata ingekua mimi ningekataaMtengenezemtengeneze kwanza 😎
😀😀😀😀mdanganye tu mwenzioSafi Sana kamanda.
Huo ndiyo uanamme ....Kubembeleza waachiwe Wafilipino.😂
Kama vita vile 😂kibabe sana hata ingekua mimi ningekataa
Mtengenezemtengeneze kwanza 😎
vita ni vita muraaKama vita vile 😂
hata kama bhana huu ugensta ni pro maxTukija kwa Kubembeleza mnajifanya mnapenda za kigensta.
Chameleon.
Cha msingi ni demu aliwe ht kwa njia za kienyejiHuu ushauri wako ukute jamaa mshirikina atauwa mtoto wa Watu.
Hakuna kupoteza mudaMna sms fupi fupi jaman
baba alienda 😀😀😀Kuna Bidada nmekutana nalo Supermarket, Sasa nikaliongelesha likanipa namba ilikua mida ya saa nane mchana.
Baadae tukachat chat mwisho tukakubaliana tutiane usiku wa Leo
Wakat wakuchat naona likakosea kutuma meseji ,likaituma kwangu ukisema "kama huji nambie Baba".
Hiyo ilikua kama saa 12 jion.
Nikauliza vp, likasema, ohoo ni Baba wa watoto wangu ameniambia nimsubiri aniletee Pesa ya watoto wake maandalizi shule.
Baadae likawa halijibu sms, na sim halipokei.
Nikaona isiwe Tabu ..nikafuta namba zake .
Najua litajichanganya kesho kunitafuta .
aende akatungue ingine riverside ndo mida hiiWaliozoea Kununua hawajui na hawana Kubembeleza.....Bila Shaka kamanda ni mutu ya kusagula.
Tumezinguanahivi mnawezaje kuchat kavu kavu hivyo kama wanajeshi woooi
ko ulikua unamwita mkiwa mmezinguanaTumezinguana