Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Aisee yule jamaa sijui huwa anawaza kwa kutumia nini🤪😂 ana ngonjera za masifu kuliko hata wana ccm wenyewe! Halafu kutwaa kumtag mama kule twitter!
Yule mie nahisi akili zake hazimtoshi vizur
 
Pascal Mayalla anaamini kwenye hukumu ya 'karma' anasubiri hiyo.

Alitumia Uhuru wake wa kutoa maoni, ndio demokrasia hiyo.
 
Nina wasi wasi sana na Paskali.

Mizania yake ya kuyapima mambo inazidi kuporomoka
.
Mimi mwana CCM lakini huwezi mtu kusapoti uhuni uliofanyika kuwaingiza kina Mdee bungeni.

Uhuni uliofanyika ni sawasawa na kuisigina katiba.
Kwa haya yanayofanywa na spika Tanzania tunaonesha dalili za wazi tunahitaji kutawaliwa,tumeshindwa kujitawala.
 
Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni

Hata hao wa bunge wa ccm wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hkn mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha Ni vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…