kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,217
- 853
Mayalla hana shida maana ameshalipwa mamilioni ya pesa zetu kushabikia uonevu.Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine