Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Mayala maana yake ni Njaa, hata Msukuma mwenzake alimjua jinsi alivyo mnafiki na mwenye njaa.
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa fake Id maana you can be who ever you want to be, say whatever you wish to say na bado mashambulizi hayataenda kwenye identity yako isipokuwa kwenye identity ambayo si wewe. Mayalla asingekuwa na Id halali hii hoja ya njaa isingejirudia rudia humu maana hajulikani kuwa ni YEYE.
 
Mayala Hana presha kabisa, anajua fika wale ni wabunge na wataendelea kuwa wabunge, na Leo wameingia bungeni na Spika Yuko kimya kabisa
Kimya kingi kina mshindo mkuu, jiandae kisaikolojia mtalia na kusaga meno.

Bunge ni taasisi linafanyakazi na documents na siyo taarifa za media.

Huyo Spika Tulia ni practice Lawyer usidhani ana akili kama za Paskali au alidisco chuo kama Paskali.

Kaa kitako kwa kutulia tega sikio lako Dodoma, saa hizi bunge lipo kwenye morning session na ofisi za bunge masijara zipo wazi.
 
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Hana aibu yule mzee
 
Hapo atarudi kwa upya. Unaweza usidhani kwamba aliiponda CHADEMA kuwapiga chini wale mbwiga
 
Kwanini JF INA WATOTO WENGI HIVI. Katoa hoja zake sio msahafu. Heshimuni uhuru wa mtu. Acheni kushambulia personality yake na uhuru Wake wa „dare to speak“

Wachangiaji wa aina yenu Sijui Kwanini mko hapa na Utaskia mnadai katiba mpya.
Ila P kaumbuka vibaya sana, ndiyo maana jina lake linamaanisha njaa
 
Mayalla huwa msanii tu, anachezea akili za watu makusudi huku akiujua ukweli.

Pale anapojiweka juu ya maamuzi ya KK ya Chadema, Baraza Kuu la Chadema, msajili wa vyama, na maamuzi ya mahakama zetu kwamba wote hao hukosea kwenye maamuzi kuwahusu kina Mdee ndipo humuona ni msanii tu.
Hapana anatafuta network kuchaguliwa angalau uDC. Amejisikia vibaya kuona akina joketi wanaketi meza moja na wakuu wengine. Il-hali yeye akiwa upande wa washangiliaji
 
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Hajajibu
 
Tujikite katika mlolongo wa katiba, kisheria na natural justice.
Toka awali katibu mkuu CHADEMA yuko on record kukataa kuwa hakupeleka majina wa wateuliwa viti maalu, wanawake, huko NEC.
SASA NIKUULIZE WEWE-NEC waliyapata wapi hayo majina!
Pili hakuna kikao cha CHADEMA kilikaa kuwateua, walijiteuaje?
Jiulize hayo ya msingi na utajua tu, kwa vile una akili za kukutosha, kujua forgery ilitoka wapi.
NEC walitumika tu kama comuflage kuna uwezekano mkubwa hata hawakupelekewa barua /majina yeyeto na chadema .
Huu uhuni ulifanywa na jiwe , ndugae na kina mdee
 
Back
Top Bottom