Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Mzee anaezeeka vibaya imagine hata ccm wenzake walimkataa kule kigamboni wakampa kura moja tu tafsiri yake ni kwamba haaminiki. Freelancer mavi.

Kwanini JF INA WATOTO WENGI HIVI. Katoa hoja zake sio msahafu. Heshimuni uhuru wa mtu. Acheni kushambulia personality yake na uhuru Wake wa „dare to speak“

Wachangiaji wa aina yenu Sijui Kwanini mko hapa na Utaskia mnadai katiba mpya.
 
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Hizo threads si alizianzisha wakati MSUKUMA mwenzie anaongoza nchi?
 
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Huyo Pascal ni Mccm,huwa hawana mshipa wa aibu.Atakuja kivingine na utamsikia akiisifu CCM kwa kukubali mchakato wa Katiba Mpya.
Sifahamu CCM huwa wana akili inayoprocess mambo that slowly.Tumepiga kelele kuhusu Katiba Mpya ya Wananchi tangia 1990's wenzetu ndiyo waanza kuelewa 2022!
KATIBA MPYA ni Sasa.
 
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!.

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Unajua mtu akijitoa ufahamu anakuwa kama kahaba tu hana aibu wala hajui vibaya. Bado anakazia msimamo wake na kuiona Mahakama kuwa imekuwa kipofu.
 
Ukiona Mtu 'anadharauliwa' mno na GENTAMYCINE hapa Jamvini ( JamiiForums ) jua ni 'damn Fool' na wala usinishangae kwa hili kwani wengine tuna hadi 'dossiers' zao Mkuu.
Nakumbuka kuna mwaka alikuletea za kuleta ukamkumbushia ishu ileeee,alikuwa mdogo kama pirton,hajawahi kukugusa tena na ndiyo nikathibitisha kumbe ile ishu ilikuwa kweli maana awali nilijua watu walikuwa wanataka kumchafua tu.Ndiyo maana ya ule msemo kuwa ukiishi nyumba ya kioo usianze kuwarushia watu madogo kwani wakianza kukujibu kwa kurushia mawe utalala nje.
 
Yeremia 17:5 -7​

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.

This is what the LORD says: "Cursed is the one who trusts in man, who depends on flesh for his strength and whose heart turns away from the LORD. He will be like a bush in the wastelands; he will not see prosperity when it comes.
 
Nina wasi wasi sana na Paskali.

Mizania yake ya kuyapima mambo inazidi kuporomoka
.
Mimi mwana CCM lakini huwezi mtu kusapoti uhuni uliofanyika kuwaingiza kina Mdee bungeni.

Uhuni uliofanyika ni sawasawa nakuisigina katiba.
Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi yako ....icho ndiyo kilicho tokea
 
Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi tako ....icho ndiyo kilicho tokea
Tujikite katika mlolongo wa katiba, kisheria na natural justice.
Toka awali katibu mkuu CHADEMA yuko on record kukataa kuwa hakupeleka majina wa wateuliwa viti maalu, wanawake, huko NEC.
SASA NIKUULIZE WEWE-NEC waliyapata wapi hayo majina!
Pili hakuna kikao cha CHADEMA kilikaa kuwateua, walijiteuaje?
Jiulize hayo ya msingi na utajua tu, kwa vile una akili za kukutosha, kujua forgery ilitoka wapi.
 
Hapo nakupinga uhuni ulifanyika na nani ? Maana chadema walivulugana wenyewe kwa wenyewe ...je kilicho zuia chadema kufanya waliyo fanya sasa ya kuitisha mkutano wa chama na kuwafuta ni nini hadi wakangoja huu mwaka. Mbowe ni muhuni sana hao wakina mdee ni wake zake ndiyo maana yote hayo yanatokea .... kuna msemo wanasema ukitembea na mfanyakazi wako jua unaialibu ofisi tako ....icho ndiyo kilicho tokea

Hapo kwenye bold, ni vyema ujifunze tu kuandika kuliko kuingia kwenye mambo makubwa yaliyo nje ya uwezo wako.
 
Tujikite katika mlolongo wa katiba, kisheria na natural justice.
Toka awali katibu mkuu CHADEMA yuko on record kukataa kuwa hakupeleka majina wa wateuliwa viti maalu, wanawake, huko NEC.
SASA NIKUULIZE WEWE-NEC waliyapata wapi hayo majina!
Pili hakuna kikao cha CHADEMA kilikaa kuwateua, walijiteuaje?
Jiulize hayo ya msingi na utajua tu, kwa vile una akili za kukutosha, kujua forgry ilitoka wapi.
Na mimi nikuulize hao hakina mdee walikuwa ccm au chadema ? Kama ni chadema basi jua uhuni ulifanya ndani ya chadema yenyewe ndiyo maana chadema kiliweza kuchukua hatua ya pili waliyo chukua sasa ...ila walichelewa kuchukua hiyo hatua ...kama nilivyo sema wakina mdee ni wake zao huko chadema ....kuhusu kuto kupeleka majini swali tufanye hakupeleka sasa kama hakupeleka kwanini kina mdee wasinge kataa hizo nafasi ..hivyo ingejulikana kuwa tatizo siyo ndani ya chadema ...ilikuwaje majina yaende kifigisu na waliokwenye hayo majina wakubali hizo figisu kwa kukubali ubunge
 
Back
Top Bottom