evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Acha uongo nani covid gani yupo bungeni na kauliza swali?Ndio shida yenu vijana mnajifanya wajuaji Sana na kuongea matusi, covid wako bungeni na Spika amewapa muda wa kuuliza maswali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo nani covid gani yupo bungeni na kauliza swali?Ndio shida yenu vijana mnajifanya wajuaji Sana na kuongea matusi, covid wako bungeni na Spika amewapa muda wa kuuliza maswali
Hiyo ndio basic contradiction ya katiba, ambayo wengine kwa makusudi wanaikwepa au hawaioni.NEC walitumika tu kama comuflage kuna uwezekano mkubwa hata hawakupelekewa barua /majina yeyeto na chadema .
Huu uhuni ulifanywa na jiwe , ndugae na kina mdee
Chadema ni marehemu anaye tembea ...ni mazombi chama kimeshakufa siku nyingiChadema haijawahi kukurupuka Wala kufanya kazi Kwa mashinikizo
Ngoja nikuitie aisha mashauzi ukaimbe naye taarabu maana umeshindwa kujibu unaleta umbea tu ...nimekuuliza kwanini hao akina halima wasikatae hayo majina umeshindwa kunijibuYaani wewe ni empty headed
Najua kirusi nimesoma huko toka shule ya msingi hadi sec...nilisha sema siku nyingi wewe tumia kiswahili mimi nitatumia kiswaili acha kukaliliAndika hiyo lugha unayojua vizuri sio huu utoto uliouandika hapa.
Haaaa[emoji1787][emoji1787]because iam a geniusDuh mbona wewe ni kama hamnazo vile, pole sana
Kisukuma sio kirusi tafadhali.Najua kirusi nimesoma huko toka shule ya msingi hadi sec...nilisha sema siku nyingi wewe tumia kiswahili mimi nitatumia kiswaili acha kukalili
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"! Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake? Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Anaitwa Pascal NjaaMayala maana yake ni Njaa, hata Msukuma mwenzake alimjua jinsi alivyo mnafiki na mwenye njaa.
Abaki na njaa yake hivyo hivyoPaskali Mayala hakubaliani na uamuzi wa mahakama kama ambavyo anavyomuona Mbowe ni gaidi.
Njaa umemshushia heshima snIla unafiki unataka roho ngumu sana! Yaani mtu mzima unakubali kuonekana wa hovyo na kuharibu heshima ya jina lako uliyoijenga kwa jasho na damu ili umfurahishe mteuzi?
Mayalla hadi anaitwa bungeni na Ndugai alikuwa shujaa anayesimamia hoja za msingi, lakini njaa ilipompelèka Kawe ndio akawa bogus kuliko hata Suphian Juma yule kijana wa Zitto na marehemu Seif
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Jiwe alisema hivyo hivyo lakini katangulia yeye, Mungu fundi aisee. Wengine bila Chadema msingekuwa na kazi hapo CCMChadema ni marehemu anaye tembea ...ni mazombi chama kimeshakufa siku nyingi
Acha uongo nani covid gani yupo bungeni na kauliza swali?
Good for you. Keep it upHaaaa[emoji1787][emoji1787]because iam a genius
Binafsi mimi umuona Mayala kama mtetea tumbo lale sioni jingine kwakeHuyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine