GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake.
Chanzo Taarifa: Spoti Leo ya Radio One leo Jumanne tarehe 18 July, 2023.
Haya wale mliokuwa mkimtukana Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Michezo Tanzania nzima Saleh Ally ( Saleh Jembe ) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchezaji Fiston Kalala yuko Yanga SC kwa Mkopo na haimmiliki na kwamba ni Mali ya A$ Vita Club ambao na Wao wamepewa na Tajiri Mmoja mkubwa nchini humo anayewamiliki Wachezaji Wakubwa 24 hamjachelewa Kumuomba Radhi / Msamaha na ikiwezekana hata Kumpigia Salute kwani alikuwa sahihi 100% kwa alichokisema.
Yanga SC itaambulia Tsh 92 Milioni tu huku AS Vita Club itaambulia Tsh 170 Milioni na huyo Mmiliki wake ( Tajiri ) atachukua Tsh 1.7 Bilioni.
Kudadadeki.....!!