Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

Huyu jamaa anazeeka vibaya sana, hii ndo shida ya wazee kuendekeza ganja. Hivi unaweza kuwaambia watu kati ya Yanga na As vita au Maniema nani wamemuuza Mayele? Asiyekuwa na umiliki anawezaje kumuuza mchezaji asiyewake?
 
Huyu jamaa anaandika utumbo sana humu na kuna watu wanamuona.ni kichwa sana
GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo katika Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa Msimu wa Kwanza wa 2022/2023 na mwenye Utajiri mkubwa wa Followers ( Great Thinkers ) hapa JamiiForums wanaofikia 158 mpaka sasa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Huyu jamaa anazeeka vibaya sana, hii ndo shida ya wazee kuendekeza ganja. Hivi unaweza kuwaambia watu kati ya Yanga na As vita au Maniema nani wamemuuza Mayele? Asiyekuwa na umiliki anawezaje kumuuza mchezaji asiyewake?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…