Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Hujui kitu usijidhalilishe kwa nyuzj zako nyingi zisizokuwa na weledi zaidi ya chuki kwa Simba na ushabiki oya oya wa Yanga. Hata wana Yanga wenye weledi wa mpira wanakudharau tu.
Makolo mna hasira baada ya kufunga goli moja la penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushauri.. hasira zenu mpelekeeni Pablo .....apunguze kikosi cha wazee
 
Ni lini Manyele amefunga hatrick hata na hivi vitimu vya NBC tu kavishindwa[emoji1787][emoji1787]
 
Ni lini Manyele amefunga hatrick hata na hivi vitimu vya NBC tu kavishindwa[emoji1787][emoji1787]
Kama unafuatilia utagundua kuwa Ni marachache yanga ana score goal 3+
 
Uzuri mchezo wa mpira unachezwa hadharani, tatizo ni pale unapokuja na matokeo yako kichwani na chuki kwa Simba.
Hapana mkuu....hata mashabiki wa Simba hawakufurahia soka lilichezwa
 
Mkuu..... MAYELE aheshimiwe TAFADHARI......ukiona Hadi wabunge wanamzungumizia .....usichukulie poa
Kwa hiyo kipimo cha akili yako ni wabunge, wakishasema jambo moja kwa moja ubongo wako unapitisha kuwa sahihi?

Hebu wakati mwingine tupunguze ujinga. Hata robo ya akili zifanye kazi.
 
Mkuu .....Geita walikuwa hawachez mpira standards.....but walikua Wana butua .....so ukiwa na wachezaji class ya Mayele .....hawajazoea hii aina ya mipira
Kwa hiyo hicho walichokuwa wanakibutua kilikuwa ni kitu gani ikiwa walikuwa hawachezi mpira?

Kama Geita walikuwa hawachezi mpira basi Yanga ndio walikuwa nao muda wote na Geita walikuwa nacheza butua.

Mitandao imerahisisha sana uchambuzi wa soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…