[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimsikia utetezi wake akihojiwa akilalamika kuwa mabeki wanamkamia sana
Haya baada ya siku mbili mchizi akakutana na zari la penati, mashabiki wakiwa wamejiandaa kushangilia wakastukia mpira unakuja jukwaani kimo cha ndege
Meza panadol kwan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote
Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.
Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.
Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...
Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?
So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
Hana maajabu huyo kashindwa na mtoto mdogo mpoleHaha mayele amewaachia makolo kidonda cha kudumu mnahasira naye kama kawapokonya mke π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nakufa mie lol.Hapana viatu vyake hivyo hapo
Udhihirisha unyani' ukosaji wa elimu na uumbwa punguza kubweka bweka kama asemavyo lejendari dj luc eymael'Siba guvu lege-lege' by mo π
Analia yeye huko anasema wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , jiji limetuliaaaa.Haha mayele amewaachia makolo kidonda cha kudumu mnahasira naye kama kawapokonya mke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwasababu umebeba lile jagi kwa hiyo we unajiona ni bora sana umesalimika huitaji solution?mtatembea mnaongea wenyewe mwaka huu mna acha kutafta solution ya team yenu mnakomaa na yasiyo wahusu
Kiatu cha ng'ombe wenu hicho hapoMpuuzi mmoja alisikika akipayuka
Simba mbovu imefikaje robo final CAF?Mm nilikuwa nawaambia watu mayele ni mchezaji wa kawaida hajafika levo za kina Kagere yaan timu yako haijafungwa mechi hata moja na imechukuwa ubingwa unashindwaje kuwa top score wakati chance ya kushinda kwenu kila mechi ni kubwa angalia Kagere hapo Simba hali sio nzuri goli 7 inamaana huyu mayele Angekuwa timu kama azam au Simba ya mwaka huu Angekuwa kama mugalu tu anagoli 1 au 3 kutetema mwaka mzima mwisho wa msimu unaangukia pua kwa wasiokuwa na akili wote watalalamikia goli la Leo kama yeye ni hatari kwanini asishinde magoli hata 19 au 20 ili kuweka utofauti na wenzake kwa yoyote anaona imemuuma mayele kukosa kiatu aende karume akamtafutie mkiambiwa huyo ni mchezaji wa kawaida muwe mnaelewa Timu mkubwa miaka 5 haitoi mfungaji bora wa ligi huo ukubwa wa Yanga uko wapi?
Nikweli watanzania kwa uroho wa kwanini naacha yote .Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.
Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.
Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.
Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.
Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.
Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.
Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.
Mark my words
PumBAaaMayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote
Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.
Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.
Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...
Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?
So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
Mayele his right make hapo kwanza nchekeNikweli watanzania kwa uroho wa kwanini naacha yote .
Yotee kabisa mnakera mnajionaga mnaweza hamuwezi kitu mnahitaji wakuwawezesha asilimia kadhaa za watu mnawapuuzia ndio wanaoweza wengi wenu vilaza , wajuaji na hamuwezi .
Wengi wanaoweza mnawanyima fulsa wanaishia kunywa pombe nakulewa tu.
Namwisho wanakufa bila heshima yeyote mnabaki hakuna lolote mnaloweza mpaka leo kunawatu hawajui kuzidisha hesabu ndogo tu au kutamka millioni mbili na laki sita na elfu ishirini na sita na miatano.
Anasema elfu kumi na mbili na mapoint .
Hamnaga ushirikiano na hamtaki kuelezewa mkabadilika.
Mayele his right .
Ikute wewe nawe wale wale tu kwanza umebahatisha post ya leo .
Umekosa hoja umeanza ukabila I'm out of hereKwasababu umebeba lile jagi kwa hiyo we unajiona ni bora sana umesalimika huitaji solution?
Afu George mpole naskia ni mnyakyusa, we ulikuwa unalijua hilo?
Hv Ile Timu iliwafumua 3 hapo kwa Mkapa nikumbushe inaitwaje..? Kama vp mpangiwe nao tena
Kunya boga kwa furaha wewe koloLigi imeisha
Mpole top scorer
Mayele top mkata viuno na mtingisha maziwa
Huyu jamaa kaongea fyongo.ππππ
View attachment 2276868
Yeah his right mnajuaga kumkatisha mtu tamaa ndio maana kazi sifanyagi na watz wanajiwekea visheria vyao vya ajabu utakuta wanakukwamisha ili hali mkose wote ili uondoke tu mahali hapo na unakuta faida ni ya wote acheni ujinga nchi iendelee mh. Kasema tuache dhambi tufanye kazi ndio hii sasa mambo ya figisu figisu tuziacheMayele his right make hapo kwanza ncheke
Ngoja walimu wa kimalkia waje mie simooo ππΏYeah his right mnajuaga kumkatisha mtu tamaa ndio maana kazi sifanyagi na watz wanajiwekea visheria vyao vya ajabu utakuta wanakukwamisha ili hali mkose wote ili uondoke tu mahali hapo na unakuta faida ni ya wote acheni ujinga nchi iendelee mh. Kasema tuache dhambi tufanye kazi ndio hii sasa mambo ya figisu figisu tuziache
Wewe ndio kazi yako kunya maboga?Kunya boga kwa furaha wewe kolo
Ni uzalendo sio ukabilaUmekosa hoja umeanza ukabila I'm out of here