Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Saido aliwahi kupata kusema kuwa "ukitaka kumuua mbwa we mpe jina baya"Mayele wa sasa hivi Kichuya ana afadhali.
Ndio nachokiona kutoka kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saido aliwahi kupata kusema kuwa "ukitaka kumuua mbwa we mpe jina baya"Mayele wa sasa hivi Kichuya ana afadhali.
Tayari washa waandaa baada ya kutolewa na Al Ahly akili zina hamia kwa Mayele qumæ zenu mnachezewa akili kama watoto!Habari mbaya kwa UTO
Huna buku hapo ujinunulie popcorn uendelee kuburidika?Mayele wa sasa hivi Kichuya ana afadhali.
Mbumbumbu in jiwe voice r.i.p 🥲Kwaiyo kuwatembelea tiyali amesajiliwa Simba? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Umeongea point. Sawa Sawa na vyama vya siasa, viongozi wananunuliana hata vinywaji na vicheko mashabiki mnakatana mapanga. Mayele aliekuwa anaiadhibu Simba Leo kaenda kuwapa Hi.DAh nimeona ni uungwana sana alouonesha kuja kuwasabahi wakongo wenzake pia kusalimu wachezaji wenzake
Nimeona strikers wengi nchini lakini hadi leo sijaona mshambuliaji hatari kana Mayele.Uwezo wake ni mdogo sana hastahili kucheza simba anatakiwa arudi yanga ni average player sana hamna kitu
Mashabiki wa simba kuna wakati mnapenda sana kujidhalilisha!
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Manzoki amewahi kuichezea Yanga?manzoki nae ilikuaje?
Naunga mkono hojaMayele wa sasa hivi Kichuya ana afadhali.
Kwani hukumwona kwenye mkutano mkuu?manzoki nae ilikuaje?