Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Tukisema makolo Kuna shida ya uongozi wanabisha.Kama ni kweli basi itakuwa hatua ya awali kufeli msimu wa 2025/2026.Wachezaji Afrika wapo wengi sana kwanini waminyane kusajili kuikomoa Yanga.
 
DAh nimeona ni uungwana sana alouonesha kuja kuwasabahi wakongo wenzake pia kusalimu wachezaji wenzake
Umeongea point. Sawa Sawa na vyama vya siasa, viongozi wananunuliana hata vinywaji na vicheko mashabiki mnakatana mapanga. Mayele aliekuwa anaiadhibu Simba Leo kaenda kuwapa Hi.
 
Uwezo wake ni mdogo sana hastahili kucheza simba anatakiwa arudi yanga ni average player sana hamna kitu
Nimeona strikers wengi nchini lakini hadi leo sijaona mshambuliaji hatari kana Mayele.
Pamoja na kwamba yanga wanafunga sana sasa hivi,ila sijawahi kuguswa na aina ya ufungaji wao kama nilivyohuswa na Mayele.Huyu mwamba ni kitu ingine kabisa
 

Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Mashabiki wa simba kuna wakati mnapenda sana kujidhalilisha!

Sasa shida iko wapi hapo, kwa huyo Mayele kwenda kusalimiana na baadhi ya wachezaji ambao wengine anatoka nao nchi moja!!
 
Kwa hiyo kutembelea kambi ndio tayari anakuja?

Nikikumbuka hadi Manzoki alikuja kwenye uchaguzi lakini kilichotokea [emoji23]
 
Back
Top Bottom