Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Mayele wa sasahivi hamfikii Hata kidogo prince dube au Samson wa prison, ameshindwa kuisaidia timu pyramid pamoja na kupewa kila kitu!
 
MBona hapo njE ya Hoteli ? eTI KATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA SIMBA ! ALIENAE HAPO NI MkONGO MWENZIE NJE KABISA YA HOTELI.kWANZA MSIJE FUNGWA MKAMSINGIZIA Mayele ndo alitumwa kuwahujumu !!!

Mayele wa sasahivi hamfikii Hata kidogo prince dube au Samson wa prison, ameshindwa kuisaidia timu pyramid pamoja na kupewa kila kitu!
Utupolo mbona mnateseka jamani?
 
Jemedari kwenye moja na mbili
IMG-20240405-WA0009.jpg
 
Jaribu Tena tena kama Mangungu kwa Manzoki,hapo kashapata lakuwapoza pale mtakapokula nyingi leo usiku,atawaambia hajarudi Misri bure karudi na Mayele.
 
Jaribu Tena tena kama Mangungu kwa Manzoki,hapo kashapata lakuwapoza pale mtakapokula nyingi leo usiku,atawaambia hajarudi Misri bure karudi na Mayele.
Ww unafikir atarudia kufanya ivo? Unafikir mashabiki hatulijiui hilo?
 
Tunaangalia quality vs quantity, mayele usi mu_underate! Alikua top 3 ya wachezaji bora wa ndani(africa)
Hujui mchezaji akiwa kwao ni mzuri akija Simba ni mbovu hata okra wakati yupo Simba alikuwa wa kawaida ila Sasa wanasema ni mtu hatari
 
Senzi alipokwenda Kilimanjaro hotel kusalimia ndugu yake Pitso Mosima mlilia kama mbwa kwamba mnahujumiwa.

Haya sasa Mayele kaenda kuwasalimia Wacongo wenzake Inonga na Fabrice Ngoma hadithi imekuwa anaenda Simba?

Long live Rage.
 
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Kuwaona Simba Misri au kuja kuichezea 5imba?
 
Senzi alipokwenda Kilimanjaro hotel kusalimia ndugu yake Pitso Mosima mlilia kama mbwa kwamba mnahujumiwa.

Haya sasa Mayele kaenda kuwasalimia Wacongo wenzake Inonga na Fabrice Ngoma hadithi imekuwa anaenda Simba?

Long live Rage.
Juzi hapa walisema Jwaneng walikua Avic town Yanga inawahujumu leo wanashangilia Mayele kuwahujumu Al Ahly
 
Back
Top Bottom