Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Yale yale..kweli umbumbumbu uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..hawa jamaa ni majinga na ni zaidi ya mbumbumbuMmetoka kwa Manzoki mmeenda kwa Mayele mtamtumia nauli nae aje kwenye Uchaguzi wa kina Mangungu hao wakongo wakitoka Tz akili yao ni mbele zaidi msije kutapeliwa..
Katika mjadala ukiona mtu anakimbilia kumshambulia mwenzake ujue ameishiwa hojaMbumbumbu kama hujanielewa kaa kimya.
Chama Tawala kinatawala kwa kuwaangalia hawa jamaa kinajua kipo na raia wa aina gani..Hahahahaha..hawa jamaa ni majinga na ni zaidi ya mbumbumbu
Hahahahaha ila hapana aisee simba umbumbumbu umezidi ,wajinga wengi sanaChama Tawala kinatawala kwa kuwaangalia hawa jamaa kinajua kipo na raia wa aina gani..
Simba ya akina jobeUwezo wake ni mdogo sana hastahili kucheza simba anatakiwa arudi yanga ni average player sana hamna kitu
MBona hapo njE ya Hoteli ? eTI KATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA SIMBA ! ALIENAE HAPO NI MkONGO MWENZIE NJE KABISA YA HOTELI.kWANZA MSIJE FUNGWA MKAMSINGIZIA Mayele ndo alitumwa kuwahujumu !!!
Utupolo mbona mnateseka jamani?Mayele wa sasahivi hamfikii Hata kidogo prince dube au Samson wa prison, ameshindwa kuisaidia timu pyramid pamoja na kupewa kila kitu!
Hujui mchezaji akiwa kwao ni mzuri akija Simba ni mbovu hata okra wakati yupo Simba alikuwa wa kawaida ila Sasa wanasema ni mtu hatariTunaangalia quality vs quantity, mayele usi mu_underate! Alikua top 3 ya wachezaji bora wa ndani(africa)
Kuwaona Simba Misri au kuja kuichezea 5imba?
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Juzi hapa walisema Jwaneng walikua Avic town Yanga inawahujumu leo wanashangilia Mayele kuwahujumu Al AhlySenzi alipokwenda Kilimanjaro hotel kusalimia ndugu yake Pitso Mosima mlilia kama mbwa kwamba mnahujumiwa.
Haya sasa Mayele kaenda kuwasalimia Wacongo wenzake Inonga na Fabrice Ngoma hadithi imekuwa anaenda Simba?
Long live Rage.