Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.
Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.
Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.