Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

Amepata offer ya club ngapi zinazohitaji huduma yake?
Hilo sisi hatujali..kwa sbb bado ana mkataba na Simba...mbona anauzika tuu? Hata nyie tungemwacha mmgemkimbilia si mnaona mkude hakua anacheza mara kwa mara ila nyie mmemchukua.. 😆 😆 🐸
 
Kama ni ivo yanga kwisha habari yake katika timu yeyote lazima uwe na ,key straika, hata kama kule mbele yupo tu amesimama.
 
Msimu Ujao, No Mayele, No Nabi!!
Hali yetu inaweza kuwa tata hasa kwenye games za kimataifa.
 
usicheze na simba.sisi ndo tumepanga mayele aondoke utopoloni.mtajuta
 
Hilo sisi hatujali..kwa sbb bado ana mkataba na Simba...mbona anauzika tuu? Hata nyie tungemwacha mmgemkimbilia si mnaona mkude hakua anacheza mara kwa mara ila nyie mmemchukua.. [emoji38] [emoji38] [emoji196]
Hamjawahi kujali maana hampo strategically
 
Ronaldo aliondoka Real Madrid ikachukua UCL mbili mfurulizo, Chama na Luis waliondoka bado Simba ikafika robo fainali , Mayele ata acha pengo lkn sio sababu ya kufanya vibaya
 
Ronaldo aliondoka Real Madrid ikachukua UCL mbili mfurulizo, Chama na Luis waliondoka bado Simba ikafika robo fainali , Mayele ata acha pengo lkn sio sababu ya kufanya vibaya
Naam
 
Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.

Mfano, ondoa magoli ya Mayele CAF halafu tathimini Yanga ingeishia hatua gani. Likewise kwenye ligi kuna mechi zaidi ya sita Mayele kafunga goli la ushindi na kupeleka alama 3 jangwani.

Acha kushupaza fuvu. Pengo la Mayele lipo
Unajua jukumu kuu la namba 9 ni kufunga.Na kulingana na mfumo,wachezaji wa timu nzima linapokuja suala la kuingiza mpira golini wanaelekeza kwa mfungaji kwanza kabla ya kuangalia mtu mwingine aliye kwenye nafasi.
Pia ni kawaida na ndiyo sahihi kwamba,timu uundwa kumzunguka namba 9 kwa maana yeye ndiye mwenye jukumu kuu la ufungaji.
Kuondoka kwa Mayele,kunailazimisha timu nzima sasa kuundwa kwa kumzunguka namba 9 mwingine atakayeletwa.
 
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.

Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.

Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.
Haya ndiyo unapaswa kuandika.Mambo ya Simba kwenda Turkey yatakuumiza roho tu.
 
Back
Top Bottom