Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.

Mfano, ondoa magoli ya Mayele CAF halafu tathimini Yanga ingeishia hatua gani. Likewise kwenye ligi kuna mechi zaidi ya sita Mayele kafunga goli la ushindi na kupeleka alama 3 jangwani.

Acha kushupaza fuvu. Pengo la Mayele lipo
 
Tuanze kuyatoa kwenye mechi ya Club Africain Yanga angepita au asingepita?
 
Kumbe mkuu upo hapa kwa ajili ya ubishi. Tuanzie kwenye hatua ya play-off round ya kwaza na ile ya pili. Unajua hata makundi yanga isingetoboa pasipo Mayele.
 
Okay Zalan tuliwafunga jumla ya magoli tisa wenyewe wamefunga 0. Mayele kawafunga magoli sita matatu yamefungwa na wengine tungepita au tusingepita mkuu?
 
Sasa hapo jibu mbona lipo wazi. Subiri msimu uanze ndio tutajua. Impact ya mchezaji mmoja mmoja huwa ipo.
 
Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.

Mfano, ondoa magoli ya Mayele CAF halafu tathimini Yanga ingeishia hatua gani. Likewise kwenye ligi kuna mechi zaidi ya sita Mayele kafunga goli la ushindi na kupeleka alama 3 jangwani.

Acha kushupaza fuvu. Pengo la Mayele lipo
Unaeleza ukweli hakika, ila mbona hukumsifia hivi alipokua hana dalili za kuondoka Yanga?

Alafu vipi usipoondoa goals za mayele CAF ila ukaondoa za Aziz Ki, tungeishia wapi mashindano ya CAF?
 
Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.

Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.

Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.
Position forward. Date of Birth 09-11-2003. Age 20. Country Ivory Coast ...
 
Unaeleza ukweli hakika, ila mbona hukumsifia hivi alipokua hana dalili za kuondoka Yanga?

Alafu vipi usipoondoa goals za mayele CAF ila ukaondoa za Aziz Ki, tungeishia wapi mashindano ya CAF?
Naam, Mayele kafanya vizuri lakini haimaanishi kwamba hawezi pata replacement
 
Back
Top Bottom