Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
- #21
Pengo linazibika ndiyo kwani hata bila yeye we can make 75% ambayo ni grade nzuri tu.Sicho ulichosema, umesema pengo linazibika vizuri sana, sio kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo linazibika ndiyo kwani hata bila yeye we can make 75% ambayo ni grade nzuri tu.Sicho ulichosema, umesema pengo linazibika vizuri sana, sio kweli.
Naam...ukweli dhahiri
Hawawezi kupumua hawaBora ameondoka Ili Simba wapumue
...uyu Sankara akitua watakua wamempata mtu🔥Naam
Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Yes hapo mbadala wa Mayele utakuwa umepatikana ila sio huyu Sudi [emoji23][emoji23]...uyu Sankara akitua watakua wamempata mtu[emoji91]
Tuanze kuyatoa kwenye mechi ya Club Africain Yanga angepita au asingepita?Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.
Mfano, ondoa magoli ya Mayele CAF halafu tathimini Yanga ingeishia hatua gani. Likewise kwenye ligi kuna mechi zaidi ya sita Mayele kafunga goli la ushindi na kupeleka alama 3 jangwani.
Acha kushupaza fuvu. Pengo la Mayele lipo
NaamGood observation
Kumbe mkuu upo hapa kwa ajili ya ubishi. Tuanzie kwenye hatua ya play-off round ya kwaza na ile ya pili. Unajua hata makundi yanga isingetoboa pasipo Mayele.Tuanze kuyatoa kwenye mechi ya Club Africain Yanga angepita au asingepita?
Okay Zalan tuliwafunga jumla ya magoli tisa wenyewe wamefunga 0. Mayele kawafunga magoli sita matatu yamefungwa na wengine tungepita au tusingepita mkuu?Kumbe mkuu upo hapa kwa ajili ya ubishi. Tuanzie kwenye hatua ya play-off round ya kwaza na ile ya pili. Unajua hata makundi yanga isingetoboa pasipo Mayele.
Sasa hapo jibu mbona lipo wazi. Subiri msimu uanze ndio tutajua. Impact ya mchezaji mmoja mmoja huwa ipo.Okay Zalan tuliwafunga jumla ya magoli tisa wenyewe wamefunga 0. Mayele kawafunga magoli sita matatu yamefungwa na wengine tungepita au tusingepita mkuu?
Unaeleza ukweli hakika, ila mbona hukumsifia hivi alipokua hana dalili za kuondoka Yanga?Elewa nilichoandika. Hata kama mchango wake ungekuwa chini ya hizo asilimia. Ila magoli yake yalikuwa yanaamua matokeo. Mechi ambazo timu plan imefeli Mayele alitumia uwezo binafsi kuipa Yanga matokeo.
Mfano, ondoa magoli ya Mayele CAF halafu tathimini Yanga ingeishia hatua gani. Likewise kwenye ligi kuna mechi zaidi ya sita Mayele kafunga goli la ushindi na kupeleka alama 3 jangwani.
Acha kushupaza fuvu. Pengo la Mayele lipo
Impact ipo ndiyo lakini kumbuka hiyo namba haitabaki wazi mkuuSasa hapo jibu mbona lipo wazi. Subiri msimu uanze ndio tutajua. Impact ya mchezaji mmoja mmoja huwa ipo.
Position forward. Date of Birth 09-11-2003. Age 20. Country Ivory Coast ...Baadhi ya waandishi na mashabiki (Timu pinzani) wamefurahia swala la Fiston Kalala Mayele "Predator" kukubali offer ya Pyramids na kusisitiza kuwa Yanga haitakuwa na makali msimu unajao.
Yanga msimu uliopita amefunga magoli 67 Mayele kafunga goli 17 tu kati ya 67. Magoli 50 yote yamefungwa na wachezaji wengine hiyo inaonesha wazi Yanga sio team ya kumtegemea mchezaji mmoja Mayele kachangia asilimia 25.37% ya magoli yote yaliyofungwa kwa maana ya kwamba asilimia 74.6% ya magoli bado ipo Yanga.
Endapo yanga wataitumia 2B vizuri anaweza kuja Mayele Pro na league itakuwa ya moto zaidi kama atatua Sankara raia wa Ivory coast.
Naam, Mayele kafanya vizuri lakini haimaanishi kwamba hawezi pata replacementUnaeleza ukweli hakika, ila mbona hukumsifia hivi alipokua hana dalili za kuondoka Yanga?
Alafu vipi usipoondoa goals za mayele CAF ila ukaondoa za Aziz Ki, tungeishia wapi mashindano ya CAF?
chuma hikiPosition forward. Date of Birth 09-11-2003. Age 20. Country Ivory Coast ...
Mbona hamueleweki, si mlikuwa mnasema Kibu Denis ni bora kuliko Mayele? Imekuwaje Tena?Kumbe hata mpira haujui. Mimi naongelea mchango wake Yanga kufika hatua ya fainali CAF. Pia kuchukua ligi angalia mchango wa kupata points 3 kupitia magoli yake. Acha uzwazwa
Ubora uko kwenye namna ya kukanda...Mbona hamueleweki, si mlikuwa mnasema Kibu Denis ni bora kuliko Mayele? Imekuwaje Tena?
Amepata offer ya club ngapi zinazohitaji huduma yake?Ubora uko kwenye namna ya kukanda...